Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

Singa singa intown....sasa ile mitambo pale pameota nyasi....yale ma HOF engines yatahitaji mpunga ww kutosha kuyaamsha na kuyawasha au kuyauza ... Kuna hatari ya kesi inakuja kati ya GOVT na SETH + RUGE na hichi ndicho yule jamaa alikikwepa akaamua kuwahifadhi akiamini kwa mateso na kukosa uhuru natural death itasema nao...

Hivi wewe ukisafiri kwa mda mrefu,gari lako hua unalifungia uwani bila kumuacha mtu yeyote aliwashe mara kwa mara? Basi ukae ukijua hizo injini za IPTL hazikukaa domant kiasi cha kuota kutu ndani yake.
 
Pale tegeta zinapiga kazi kama kawaida plant iko kwenye daily operation
 
Am sure alijaribu kipindi cha Magufuli pia kujinunulia uhuru.

Ila hii approach itumaanishie nini maskini? Kwamba inawezekana tukafungwa kisa hatuna pesa? Mtu akikiri makosa anatakiwa atumikie adhabu iliyopo kisheria au alipe pesa atoke?
Maskini utaingia lini kwenye kumi na nane za KUHUJUMU UCHUMI au KUTAKATISHA PESA? Hayo ni makosa ya matajiri, wewe maskini hata hela ya kula huna, hiyo ya kuitakasa utaipata wapi?
 
Hao waliwekwa ndani sababu walimgomea jiwe kuichukua kampuni ya IPTL na sio kwa sababu ya ishu ya escrow ilikuwa geresha tu.
Vilaza mataga hata hayajui kilicho nyuma ya pazia. Jambazi kuu alitaka kupora IPTL, VIP Engenieering na kiwanda cha ....kwa kubadilishana na uhuru wao hao mtu tatu,wao wakataka "plea bargaining" ichukue nafasi, walipe mzigo,jambazi kagoma. Thamani ya IPTL na VIP ni zaidi ya nusu milioni US$.
 
Back
Top Bottom