lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,430
- 1,681
Haina haja yakuendelea kusikitika, tuzidi kumuombea ndugu yetu na kudai uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa kujieleza hata kukosoakWA HIYO!
Haina haja yakuendelea kusikitika, tuzidi kumuombea ndugu yetu na kudai uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa kujieleza hata kukosoakWA HIYO!
Misemo ya Kidekteta ya Hitler na Musolin ambayo siiamini kama ndiyo misimamo ya watawala wetu wa sasa!!!!!!It doesn’t matter legality is already reasonable to take care of such thinking!
Nimeuliza. Huwainaruhusiwa? Je, imewahi tokea? Au tuanze na huyu anayeonekana ni mtu mashuhuri?
Hujui ulisemaloKwani alizaliwa peke yake? Lini mshitakiwa aliwahi ruhusiwa kwenda kwenye mazishi? Au hii iwe special kwa huyu, mwandishi habari? Wakulima je? Wafugaji je?
Tusiishie kusikitika, tuepuke kujiingiza kwenye mambo ya kujitakia. Kulikuwa na kila njia ya kuachana na hayo lakini naona alijivunia ushujaa.
Hakuna sababu ya kuwasha waliolala kwa kuvimbiwa.. Subiri kidogo.. Mwisho wao njiani.Mkuu tetea uovu maana uko mezani kwa mfalme na sahani yako imejaa mlo wa kutosha, na namna nzuri ya huo mlo ili uweze kushuka utakavyo ni pamoja na kujenga hoja ya kuutetea huo uovu. Hata akina Mwigulu, Nape, Januari nk walikuwa wanatetea uovu enzi za JK wakiwa mezani kwenye mlo kama ww. Ila hiyo warmup inayowakuta hivi sasa akili imewarudia.
Mkuu hakuna namna kwa kabenderera ila ni kuwa wavumilivu tu tungoje wakati.
Tatizo kina watu wanadhani serikali inaendeshwa kwa huruma na kuombewa na kusaidiana. Ikiwa ni hivyo nani angekuwa gerezani?Vipi hao washtaki wakiwa kwenye hali hio mara pa wamepigiwa Simu mama zao wako mochwari wamepata ajali vipi wataendelea na kesi ?
Hata kama unyama huu upo katika nchi nyingi haiwezi kuwa ndo justifiation…!Huu ukaburu lazima upigwe vita kwa nguvu zote!Haya mambo yapo nchi nyingi tu sio Tz pekee
Kwa civilized society sheria ubadilika kulingana na wakati pia kulingana na mazingira.Possible mfungwa au mtuhumiwa kuwezapewa mda wa kumzika mpendwa wake,jela ni ya wote,yeyeto kuanzia raisi hadi mpiga debe anawezaingia.Tatizo kina watu wanadhani serikali inaendeshwa kwa huruma na kuombewa na kusaidiana. Ikiwa ni hivyo nani angekuwa gerezani?
Ukiongea hivyo msamaha wa magufuli wa walioba hela wakiri wenyewe waachiwe sio huruma?Tatizo kina watu wanadhani serikali inaendeshwa kwa huruma na kuombewa na kusaidiana. Ikiwa ni hivyo nani angekuwa gerezani?
Mjibu vizuri alichosema, je kuna utaratibu wa kisheria kwa mfungwa au mahabusu wa kutolewa gerezani na kwenda kushiriki msiba au tukio lolote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu what next akishateseka?Mwanadamu siku zake si nyingi na zaidi ya kuukimbiza upepo.”Tutakutesa mpaka wenzako wakuhurumie” - utawala wa awamu ya5
Umeshasema mshtakiwa kwa maana bado hajakutwa na hatia.
Vipi ikitokea akaachiwa huru kwa kukosekana ushahidi wa kumtia hatiani.
Usiwe unajitoa ufaham tu mwenzio amefiwa na bi mkubwa wake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi uko wapi unaoonesha yule jamaa alitenda hayo? Umesoma wapi yule mwandishi ni mfungwa kahukumiwa?Kwani alizaliwa peke yake? Lini mshitakiwa aliwahi ruhusiwa kwenda kwenye mazishi? Au hii iwe special kwa huyu, mwandishi habari? Wakulima je? Wafugaji je?
Tusiishie kusikitika, tuepuke kujiingiza kwenye mambo ya kujitakia. Kulikuwa na kila njia ya kuachana na hayo lakini naona alijivunia ushujaa.
Noma sanaHamna kesi hapo bali kinachofanyika ni kumkomoa kisa ni mkosoaji wa rais. Mahakama inatumika kama sehemu ya kukomoa watu wanaoikosoa mamlaka
Mjibu vizuri alichosema, je kuna utaratibu wa kisheria kwa mfungwa au mahabusu wa kutolewa gerezani na kwenda kushiriki msiba au tukio lolote?
Sent using Jamii Forums mobile app