KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

Ni akili zakoooo au umeazima za kuazima?
Safali hii mmeshikwa ken*** de zenu
Sasa mnahangaika.
Mbowe ni mtu mzima ni upuuzi kujiingiza kwenye mambo ya kijinga kama hayo.
Ila kwa kuwa alizoea kufanya huo umafia wacha alobaini zake zifanye kazi
 
Kwamba laki sita ndo ilitumika kufadhili ugaidi...walio leta mashtaka hawapo siriazi.
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli na mateso ya Sabaya vitamtesa sana gaidi Mbowe
Mtese watu mkifa tusifurahi..?! Nyie kufeni tu sie tunafurahi..!
Mkisha kufa mnabana na pua “ tuwe kitu kimoja “ pumbavu zenu..!
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli na mateso ya Sabaya vitamtesa sana gaidi Mbowe
kwani kuna ubaya gani kushangilia JIZI JAMBAWAZI TEKAJI UAJI likinyakuliwa na ZILAILI ? we ni mbwiga wa huyo nguchirrro wako hebu kufa uone kama hatutashangilia shwain kama nyinyi mkinyakuliwa na zilaili ni USHINDI
 
Hivi unahitaji hela kiasi gani kukodi wavuta bangi wa kuchoma vituo vya mafuta?

Acheni mahakama ifanye kazi yake; Ayatollah Mbowe is presumed innocent until proven guilty!
Yaani mtu mwenye akili na kiongoz mkubwa wa upinzani wa Tanzania anaewindwa na ccm, serikali na teeth mda wote atumie wavuta ganja kufanya Ugaidi kwa sh. 600000 kweli Ugaidi na magaidi yanadharauliwa na kutukanwa Sana tanzania
 
ulitaka ziwe dola ngapi mkuu
Hapa tunawatu waliopindukia uwendawazimu. Wenzetu Ulaya, baafa ya utafiti wao, waligundua kuwa kiwango chachini kuweza kutekeleza ugaidi ni $10,000. Vichaa wetu wa hapa, wanasema ni $257 zinatosha kufadhili shambulio la ugaidi. Hii kazi ya hawabwana, nadhani sifa kubwa ni akili ndogo, roho mbaya, roho ya shetani, unafiki na uwendawazimu.

Wakati ufaao, Mungu wetu, uyalipe haya mashetani sawasawana matendo yao.
 
Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali.

UPDATE: Mashtaka
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam wamesomewa maelezo ya mashtaka mbalimbali yanayowakabili ikiwemo la kutaka kudhuru viongozi wa Serikali akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.


Upande wa mashitaka unasoma mashitaka kwa kusema kuwa; Halfan Bwire Hassan, Adam Hassan Kasekwa, Mohamed Abdallah Ling'wenya na Mhe. Freeman Mbowe wanatuhumiwa;

1. Freeman Mbowe anatuhumiwa kufadhili vitendo vya Ugaidi kwa kutoa shilingi za kitanzania laki sita ( 600,000). Jamhuri umeieleza Mahakama kuwa Matumizi ya fedha hiyo ni kama ifuatavyo;
1. Kulipua vituo vya Mafuta
2.kulipua mikusanyiko ya watu
3.Kukata miti na kusambaza barabarani

2. Kula njama na kusabisha majeraha kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya Hai, Lengai Ole Sabaya

3. Watuhumiwa wote ambapo wanatuhumiwa kushiriki vikao na Kula Njama za kutenda Ugaidi

4. Mshtakiwa wa pili anashitakiwa kumiliki bastola yenye risasi tatu kwa ajili ya kutenda kosa la ugaidi.

5. Mshtakiwa wa tatu anatuhumiwa kumiliki nguo, begi na koti za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWT) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT.)

-
UPDATE: Mashahidi 24 vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

Mashahidi 24 na vielelezo 19, wanatarajia kutoa ushahidi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu.

Miongoni mwa mashahidi hao, yupo aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai nchini (DCI), Robert Boaz.

Hayo yameelezwa leo, Agosti 23, 2021 na upande wa mashtaka ukiongozwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Nassoro Katuga akisaidiana na Ester Martin, wakati wakiwasomea maelezo ya mashaidi na vielelezo (Commital Proceedings) washtakiwa hao, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Thomas Simba.

Credit: Mwananchi
Very interesting story yaani shs 600,00.00 (Laki sita tuu) za TZ ndizo zinawezesha ugaidi!!!!!!!!!!!!!!
Only in TZ :oops::oops::oops::oops:
 
Mbona Jamhuri inatupeleka raia kwa kasi hivi, amefikishwa kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi tena na sio kesi ya ugaidi???

IGP Sirro na cabinet yako mungu anawaona.
Kesi tangu mwanzo ni ya uhujumu uchumi no 63 ya mwaka 2020 (economic crime case) ambayo ndani yake ina kosa la ugaidi kwa mujibu wa sheria no 4 (1),(13),(1),(1) ikisomwa pamoja na kifungu cha 27(c) of Prevention of Terrorism Act no 21 of 2002. Sijui ni kwa nini Mbowe ameamua kufanya mambo haya ya ugaidi.
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli na mateso ya Sabaya vitamtesa sana gaidi Mbowe
Hakushangikia yeye tuuu sisi huku kila tar 17 mchi
IMG_20210604_171940.jpg
 
Lakini,kama Mbowe amefanya hayo alikuwa hagombani na rais mzuri wa sasa. Alikuwa anagombana na Magufuli.
Mi nafikiria anapaswa kuachiwa huru. Wasiseme wananuia kimwachia huru. Wamwachie huru tu.
 
Hii Serikali ya hovyo kabisa. Serikali inaiambia dunia kuwa ugaidi unafadhiliwa kwa laki sita (US$260) kweli?, what low is government procurement of the case?
 
It is ridiculous, footing a bill of TZS 600,000/- to facilitate terrorism acts!? or perhaps there are three zeros missing, meaning they meant TZS 600,000,000/-
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom