Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 7,397
- 9,320
Wachezewe Utumbo mpana wakimaliza kifungo chao cha miaka 30.5Mkuu hii haiitaji Akili sana ni Typical uzushi...
Mi ndo naona sasa hivi
Hebu angalia kuanzia kifuani,Uje Ubavuni jamaa ni Mtu wa Mazoezi yaani unaona ule mfupa wa Muscles mgongini Pia Tumbo liko flat kwenye hiyo Picha...
So utajua ni Uzushi na Wameweka Tuu picha ya Mheshimiwa!