Unaonaje mama alivyo siyo dhalimu.,!?


Anawakomesha mataga, sukuma gang na kufuta legacy

Anafungua nchi

Anamwaga hela mtaani tuwe tunaziokota!

Unadhani hiki unachoandika hapa kitafuta udhalimu wa yule ibilisi aliyeko motoni? Hata huyu mama wa kambo aaue wapinzani wote hapo uwanja wa taifa, bado lile takataka lilikuwa ni janga kwa nchi hii. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika.
 
Nani Sasa kaongelea mambonya viwembe?

Usishabikie mateso ya mwingine kwa kuwa yanaweza kukupata pia.

Yaani wewe unaamini kabisa kuna mtu anaweza akaenda kumyoa mamam na kiwembe?

Viwembe sio mateso ya wengine?

Segerea ni sehemu ambayo yoyote anaweza ingia kama anastahili

Kama mmesema wenyewe kwanini tusiamini? Tatizo lenu huwa mnajisahau sana
 
Kama chama kimeruhusiwa kumiliki jeshi la polisi kwa nini Chadema wasiwe na polisi wao?

CCM hawawezi kuondoka kwa kubembelezana .. lazima watu waingie msituni wapate mafunzo kama ilivyokuwa kumuondoa kaburu ndio inavyotakiwa kumuondoa ccm kwa sababu wanapenda sana faulu na rafu.
Misitu iko mingi Sana hapa Tz acheni maneno nendeni kwa vitendo
 
Kama kila mmoja alitoka nyumbani kivyake ilikuwaje wakafika na kuanxa kuimba wimbo mmoja wenye maneno yaleyale na wakiwa na mabango? Yenye ujumbe uleule?

Waligeuza mahakamani kituo Chao Cha kukutania kuendesha siasa

Hizo mahakama zinazotoa hukumu kwa maagizo ya wanasiasa, zigeuzwe sehemu ya kuendeshea siasa mara 2?
 
Polosi mnawachekea hawa wahuni, watieni adabu ili iwe fundisho kwa wengine, hawato rudia tena.
mchelea mwana hulia mwenyewe.
 
Pongezi kwao maana wamethubutu, Kwa hali ilivyo sasa hivi waoga kama mimi tupo makazini. Wengine wamekimbilia chanjo hii ni ishara tosha kuwa ugali maharage ni mtamu.
 
Hii ingekua fair fight kama maaskari na wao wangetoa mabango ya kusema mbowe ni gaidi na wangekua wanaimba

Mmoja: "Nani Gaidi?"
Wote: "Mbowe"

Mmoja: "Nani Gaidi?"
Wote: "Mbowe"

Mmoja: "Nani Gaidi?"
Wote: "Mbowe"

Halafu huku wanaoandamana unawasikia wanasema;

"Mbowe siyo gaidi"

"Mbowe siyo gaidi"

"Mbowe siyo gaidi"

It would be an honor to be there and watch.
 
Kama chama kimeruhusiwa kumiliki jeshi la polisi kwa nini Chadema wasiwe na polisi wao?

CCM hawawezi kuondoka kwa kubembelezana .. lazima watu waingie msituni wapate mafunzo kama ilivyokuwa kumuondoa kaburu ndio inavyotakiwa kumuondoa ccm kwa sababu wanapenda sana faulu na rafu.
Labda kwenye msitu wa mamako pale chini ulipotokea.
 
hao ndio wajinga kweli.
unakuta mtoto wa mbowe na familia yake mida hii wamekaa kwenye sofa wanaangalia tv wewe mlala hoi Zuzu unachezea kichapo na kuishia mahabusu.

Akili ndogo sana , wanatumiwa bila kujitambua, wamejazwa upepo, hapo huwezi kumkuta mke wa Myika wala mke wa Mrema,
kuweni na akili acheni kutumiwa.
 
Back
Top Bottom