Kisutu, Dar: Hukumu ya Kesi namba 456 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums kutolewa Januari 22, 2020

@rovin journalist kuna updates gani? Naomba kufahamu
 
Kamuumba yeye ujue! tena alimpa nafasi kubwa sana kule heaven
Ali pave way kwa kwenda kujitegemea, ukitegemea vya baba urithi utakuwa uzembe.

Shetani hakutaka mali ya muumba wake, aliamua kutoka nyumbani na kwenda kuanza maisha yake, mbali na nyumbani shida iko wapi.

Vijana msibweteke shetani ali onyesha njia tuko wengi tulioinga mfano wake na leo tunajitegemea na tuna mamlaka yetu majumbani mwetu.
 
Alitaka kupindua Serikali ya Babab ake, mkuu, hapa ilkuwa ni kuchinja na kuharbu waliokuwa karibu na Mungu.
Angeondoka kimya kimya akajitegemee sawa, huenda Mungu angekubali!
 
Hamkumuelewa, wakati anaondoka angeita press conference kueleza ni kwanini akiondoka labda mgemuelewa pia.
Kuna waliojiona wao ndio watoto pekee wa muumba, wakamuona yeye muovu, sasa kwa njia hiyo hakutaka kushare naye chochote cha baba yao, wakamtengenezea zengwe naye katika ku fight back majeraha yalikuwepo, sasa nyie mlielewa story ya ule upande mmoja.

Kumbuka yule kijana aliyeondoka nyumbani na kwenda huko mbali kupobnda mali, na alifungashiwa kila alichokitaka.
Aliwaacha watumishi wa baba yake wakila kuku, lakini aliporudi kachoka na ku atumbua hadi vikamuishia, baba yake alimchinjia kondoo aliyenona, licha ya kwamba alitumbua sana huko alikokuwa na kuna waliobaki na kuwa royal kwa baba waliona wivu kwanini huyu mfujaji achinjiwe kondoo aliyenona na kufanyiwa sherehe kubwa na hajafanya chochote zaidi ya uharibifu wa mali ya baba. Sisi tulibaki na kufanya kila kitu kwa baba hatujawahi hata kuambiwa asante.

Hii itatokea siku shetani akirudi nyumbani, muumba atamfanyia bonge ya sherehe naamini kuna malaika watanuna lakini, haitawasaidia.

Naamini siku akurudi haitakuwa kimya kimya. Lazima kutakuwa na press conference na mtamuelewa tu, siku hiyo.
 
Aaaahahaha! weee jamaa!
Press conf. aliitisha Mbinguni mkuu, Baadhi ya washiriki/Malaika watiifu, wakamuomba na kumbembeleza sana usiku kucha atubu, Bado ana nafasi aligoma.

LKN Ujue haya ya kusemasema Shetani mbaya, ni ya kibinadamu zaidi, hakuna kwenye Biblia Mungu anamkaripia shetani, au kumkandya hovyo! zaidi sana wanaongea km Mungu alipomuuliza. na nukuu ''Shetani unatoka wapi?''
Shetani. ''kutembea huku na huko''

Yesu alipojaribiwa, alimjibu kwa upole tu! daaaa!

Mwana mpotevu alitubu, tena alikana hadhi ya mtoto mwenye nazo akaomba kwa Babae '' mimi niwe kati ya Wafanya kazi wako, kwa jinsi alivopigika huko Duniani,

But hili toto tukutu Shetani, lina kila kitu full mamlaka mpaka linaitwa mkuu wa Ulimwengu, linapeta mwanzo mwisho, na Muda wa kutubu ulishapita, kitambo,

Yes! najua Mungu hapangiwi, wanpiga story, ana muomba sana Mungu huyu jamaa! pia linalowezekana kwa Mungu kwa binadamu haliwezekani but akimsamehe tu huyu jamaaa Mtiti wake Baba mkuu utaja nambia! siku tukifika,(mi mkuu naenda. wewe je!) aki samehe tu atasababisha uasi mwingine. mkubwa sana. huko Mbinguni.

Yaani tutaanza upya na mashetani kibao! yaani Devils part two! sijui watapewa jina gani ikitokea uasi mara ya pili
 
Kumbuka sifa kubwa ya Muumba ni kusamehe, na huwa hajali ulitubu au hukutubu, yeye anajiamulia kusamehe tu. Hakuna record za misamaha mbinguni.

Nakwambia utashangaa siku shetaniakitudi kwa baba/muumba wake, atashushiwa bonge la sherehe.

Mungu siyo Athumani, yeye ni mwenye huruma na huwa haangalii umemsababishia majeraha au makopo kiasi gani.

Yalitokea hata kwa Sauli/Mtume Paul.

Ningekuwa mimi wewe, huyu shetani usimtupe unaweza kwenda kwenye sherehe kama rafiki wa mtoto mpotevu, kumbuka tunachoangalia ni kufika na kuingia kwenye sherehe.

Shetani akiwa high table na washikaji wake na ata watambulisha kwa Muumba na wote watakunywa kula na kusaza.

Baada ya hapo wote watakuwa wamesamehewa na maisha mapya yataanza.

Iko hivyo shetani atarudi kwao siku moja.
 
No free forgiveness,

Devil ana maguvu na uwezo wa ajabu sana, anaweza kujigeuza na kuwa Malaika wa nuru
Navoona hapa ni rahisi kuchezewa mchezo, anaweza akakuzugeni kirahisi Eti Mungu amemsamehe njooni tujimwage paradiso ya Bwana. wengi mtaenda tena mtafurahi miaka Dahari,

Tena Yesu wa kweli akija hamta mtambua mtaona ni mzushi tu, yesu alisha kuja kitambo na huyu? mambo mtafanya vice versa. WAUONGO NDIYE NA WAUKWELI SIYE
 
We jichanganye tu, mwana mpotevu naye ataingia kama wengine.

Na akionekana, atavishwa joho na kukaa high table.

Mtanuna lakini iko hivyo, Mungu hana hiyana na hana visasi.
 
Walokole watalia sana, ila walevi malaya, wauaji, free manson watashangilia
 
Kila binadamu ana choices zake, malezi,makuzi hata maisha yako tofauti kwa kila mmoja wetu.

Hao walokole wakilia shauri zao, walichagua namna yao ya kuishi, na shetani na genge lake naye aliamua style yake ya maisha.
 
Kila binadamu ana choices zake, malezi,
Ni kweli mtu ana uwezo huo, kwa sababu ameumbwa kwa mfano wa Mungu.

Lkn kwa sababu ya upendo wa pekee kwenu ndgu zetuu mnao pendwa sana na Mungu, na akawaumba kwa mfano wake, mnaopotea kwa kutokujua.

Ndo maana tumekuja sisi tuliovuviwa na roho Mtakatifu tuwa saidie msiende motoni na hili jizi shetwani, msije mkasema hamkuambiwa! hata kama atasamehewa shwetani hamtakosa kitu, lkn akikomaa na hukumu je?

Hali kama unayo sema wewe leo, ilifanyika wakati wa Gharika, watu walikataa kujenga Safina, wakamdhihaki Nuhu, alipo maliza akasema basi ingieni ndg zangu, wakamdhihaki, Mungu alifunga milango. Akashusha kitu siku 40 mfululizo weeee!

JIfunze hapa! ktk Gharika
Ukienda Jehanaum umetaka mwenyewe!
 
Story za Safina ni za uongo, Nuhu alikuwa na uwezo gani kuwapandisha Simba, chui, fisi, mbwa mwitu kwenye hiyo safina, na aliwalisha nini?! Na hawa wanyama wengine walikula nini na wapi? Au kila kiumbe kilifunga kwa siku 40 ndani ya safina?!
Story zingine ni za kusubiria msosi hazina tija hata kuzisoma potelea mbali kuzikumbuka.
Kula bata achana na story hizo za kupotosha, kusoma hizo story bora ukasome katiba ya TLP.
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom