Kisumu vs Mwanza

Apo sibishi ila mwanza ina uwezo wa kuja kuwa kama mombasa ila bado watu wake n wa hali duni na uwekezaji unaofanyika bado haujatosha unatakiwa ufanyike uwekezaji mkubwa kama dodoma ila mwanza iamke iwe giant mwingine wa EA
Kama hakuna incentives hilo halitakaa litokee Arusha utalii ndo kitovu kina vuta other investments,mwanza kuna nini specific ya kuleta pesa? It will remain to be poor and underdeveloped over the centuries to come
 
Mbona usiweke mapicha baadala ya kuongea mambo mengi. Or you don't know that a pictures is worth a thousand words.?
Everything in here unaweza google muhimu uwe na jina plus i have a lot of business za ku attend time ya kuingia location ndio sina ila nikiwa napata chance ntakuwa natuma afu huu uzi sio official kwa ajili ya arusha vs kisumu tusiharibu uzi japo kwa tz tunakuwa wakweli mwanza na kisumu or mombasa mwanza inalack vitu vingi ila a proper challenge n btn arusha na kisumu hizi mbili zina challenge kila mmoja na usisahau in my view kisumu na mombasa ni wingi wa watu ila hawajapishana sanna
 
Kama hakuna incentives hilo halitakaa litokee Arusha utalii ndo kitovu kina vuta other investments,mwanza kuna nini specific ya kuleta pesa? It will remain to be poor and underdeveloped over the centuries to come
Ukipeleka industrial zones pia ukikuza ile jamii kielimu na kukuza ufugaji wa samaki na mifugo pamba na kusahau bussiness maana watu wapo wengi inaweza kuwa maana hapa arusha hata ukitalii ukiondoa sa hv kutayumba tu kwa miezi kazaa baada ya hapo speed n ile ile maana watu wengi wanajiongeza haraka kutafuta fursa only if izi gvt zetu za ke na tz wangeunga reli ya kasi from nairobi to arusha amini kwamba arusha ingekuwa faster zaidi ilo n wazo langu la muda mrefu na nnazani jiji liloko karibu na nairobi hapa ea n arusha in term of disctance
 
Ninyi nyote hamuijui mwanza, watanzania hawapo sana bize kupga mapicha magorofa au video za majiji lakn kuna video baadhi za mwanza aerial view niliona nkashindwa kushare, nenda kaangalie uone tofaut ya mwanza na hiyo kisumu na Arusha, inshort mwanza ni more like hawajengi majengo marefu kwasababu ya geography mzee baba, ni sawa na zanzibar ukatafute jengo refu wakat zanzibar ni jiji la bata, mahoteli na majengo yake ni mafup mafup ila mazur, so mwanza ile ardhi yao ni full mawe, kwahyo wanajenga majengo mafupi lakn mazuri, hazizid floor kumi, mwanza ina vivutio vya kitalii kutokana na lile ziwa na lile jiji ni limepanuka kwa kujengwa kuliko arusha na kisumu ambazo utakuta pamejengeka pale CBD tu, nenda youtube ukaone mwanza ilivyo na majengo kila kona, Arusha kwa majengo wala sibishi kisumu nimechek youtube kiukwel hamna kitu ni kama moshi tu, zaid ya hvo vigorofa vyenu basi

Mwanza is just a glorified fishing village. Fananisha hiyo Mwanza yako na Kisii.
 
Ati Mawe? And who told you Kisumu Hakuna Mawe! The areas around lake Victoria are usually rocky not only in Tz but Kenya too.
#Kisumu.
FB_IMG_15681641211986046.jpeg
View attachment 1204062
FB_IMG_15681641051175149.jpeg
 
Watu wanaita towns Cities na ziko na class 3 infrastructure.
Upuzi
Bure. Kabisa.
Usishangae zikitoa revenue kama ya Molo town...
 
Ukipeleka industrial zones pia ukikuza ile jamii kielimu na kukuza ufugaji wa samaki na mifugo pamba na kusahau bussiness maana watu wapo wengi inaweza kuwa maana hapa arusha hata ukitalii ukiondoa sa hv kutayumba tu kwa miezi kazaa baada ya hapo speed n ile ile maana watu wengi wanajiongeza haraka kutafuta fursa only if izi gvt zetu za ke na tz wangeunga reli ya kasi from nairobi to arusha amini kwamba arusha ingekuwa faster zaidi ilo n wazo langu la muda mrefu na nnazani jiji liloko karibu na nairobi hapa ea n arusha in term of disctance
Why Arusha iungane na Nairobi na si Moshi na Tanga? Did u call sgr Kenya fast? Hivi kwann watu wana-undermine fursa za Tanga? The Califonia of Africa? Name good beach n wildlife tourism, gold, limestone, gemstones, iron ores, good weather for fruits n vegetables.

And especially now Uganda pipeline inakuja Tanga na $200mln expansion of Tanga port is going on? Na NGR to Arusha inafufuliwa while extension to Musoma in Mara region is on being drafted to be implemented during 2nd term of JPM? BTW when Air Tanzania starts flying to Europe Nairobi will be a thing of the past.

Nairobi is important now because it offers logistic services to Arusha's farm produce. See how little improvements to KIA have raised number of tourists flying direct to Northern circuit. Other than that Arusha can stand on it's own if synergies to Tanga port r worked on! A thing Magufuli is doing.
 
Mega city Has nailed it mwanza hakuna kama iyo rock city mall inalingana na Mega plaza mall
List of Malls in Kisumu
1. Mega City mall
2. Mega Plaza mall
3. Westend Mall
4. United mall
5. Tuffoam mall
6. Unique mall
7. Tumaini mall
8. Lake Basin mall
9. Swan Center.
 
Why Arusha iungane na Nairobi na si Moshi na Tanga? Did u call sgr Kenya fast? Hivi kwann watu wana-undermine fursa za Tanga? The Califonia of Africa? Name good beach n wildlife tourism, gold, limestone, gemstones, iron ores, good weather for fruits n vegetables.

And especially now Uganda pipeline inakuja Tanga na $200mln expansion of Tanga port is going on? Na NGR to Arusha inafufuliwa while extension to Musoma in Mara region is on being drafted to be implemented during 2nd term of JPM? BTW when Air Tanzania starts flying to Europe Nairobi will be a thing of the past.

Nairobi is important now because it offers logistic services to Arusha's farm produce. See how little improvements to KIA have raised number of tourists flying direct to Northern circuit. Other than that Arusha can stand on it's own if synergies to Tanga port r worked on! A thing Magufuli is doing.
U didn't get my point mgr ya dar to tanga toa arusha inamaliziwa kufufuliwa this year najua SGR feasibility study from tanga to arusha imekamilika imebakia from arusha to musoma so tuna expect b42023 ujenxi utakuwa umeanza ila my point ya kuziunga nairobi na arusha n kwa sababu moja cha kwanza almost asilimia 70 ya import ya nairobi inapitia arusha so tukiwa na fast railway btn them ita speed up ukuaji wa arusha afu pia biashara arusha watu wake na wa nairobi wanafanya biashara mno ivo n rahisi mtu kufanya business arusha afu anaishi nairobi and vise versa am talking about uwepo wa majiji makubwa EA sio dsm na nairobi tuwe na other giants
 
Why Arusha iungane na Nairobi na si Moshi na Tanga? Did u call sgr Kenya fast? Hivi kwann watu wana-undermine fursa za Tanga? The Califonia of Africa? Name good beach n wildlife tourism, gold, limestone, gemstones, iron ores, good weather for fruits n vegetables.

And especially now Uganda pipeline inakuja Tanga na $200mln expansion of Tanga port is going on? Na NGR to Arusha inafufuliwa while extension to Musoma in Mara region is on being drafted to be implemented during 2nd term of JPM? BTW when Air Tanzania starts flying to Europe Nairobi will be a thing of the past.

Nairobi is important now because it offers logistic services to Arusha's farm produce. See how little improvements to KIA have raised number of tourists flying direct to Northern circuit. Other than that Arusha can stand on it's own if synergies to Tanga port r worked on! A thing Magufuli is doing.

Ati umesemaje buda? 😂 😂 😂 😅 😅 😅
 
Years back nilishalizungumzia hili..

Tanzania weka nyumba kama hizo na hawatajisumbua kununua unless ziwe na bei ndogo sana au la watu wanunue ili wazipangishe kwa wengineo hasa wanaoanza maisha (this is mostly out of DAR). Kuna perception low sana juu ya kuishi katika gated communities Tz na ndio maana wengi huamua kujenga wenyewe. It feels great to live in a house that feels like a home to your every need with a REAL PRIVACY.

Gated communities zipo vizuri visually ila satisfaction ni ndogo. Bad enough in Tz , estate planning is somehow low and therefore you may find streets full of Good & standard houses without the proper planning which makes it alittle visually attractive but Trust me, these people enjoy their settlements to the maximum
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom