ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 42,857
- 49,552
Kama hakuna incentives hilo halitakaa litokee Arusha utalii ndo kitovu kina vuta other investments,mwanza kuna nini specific ya kuleta pesa? It will remain to be poor and underdeveloped over the centuries to comeApo sibishi ila mwanza ina uwezo wa kuja kuwa kama mombasa ila bado watu wake n wa hali duni na uwekezaji unaofanyika bado haujatosha unatakiwa ufanyike uwekezaji mkubwa kama dodoma ila mwanza iamke iwe giant mwingine wa EA