Kisulisuli cha mwezi Januari: Bank of Africa Loan

Polepole alisema kuna mikopo ya vijana,wanawake na walemavu huko halmashauri,kama vipi nenda halmashauri ukachukue mpunga.

dodge
 
Mugabe one,

Ndugu nenda kakope CRDB unapata mkopo wako ndani ya siku tatu tu. Hawana longolongo.
Ila nakushauri zaidi pitia bank nne hadi tano uone makato na riba zao na utatakiwa urudishe tsh ngapi kwa hiyo hela wakatayokupa. Ukishajiridhisha haya. Amua utachukua mkopo bank gani mwenyewe.
 
Polepole alisema kuna mikopo ya vijana,wanawake na walemavu huko halmashauri,kama vipi nenda halmashauri ukachukue mpunga.

dodge


Hyo mikopo best acha tu..kwnza hawapend ijulikane...pili hupew alone..unaambiwa muunde kundi ..hilo kundi mnaweza kaa 3mths ndo mpewe hizo 500k! Kuna makundi mawili..yavijana na wamama km sikosei...na awe amepita sijui veta awe ana cheti gan sijui(km yuko upande wa vijana)..km wamama uwe unafuga..unashona vikapu sijui unalima bustan..blah blah kibaooo..unaishia kupewa 500k🤔! Sema riba ndo ndg...!
 
Duuuh yaani vigezo vyote hivyo mwisho wa siku upewe 500k only?

Wahindi wanasema nehi nehi mkuu.

Hyo mikopo best acha tu..kwnza hawapend ijulikane...pili hupew alone..unaambiwa muunde kundi ..hilo kundi mnaweza kaa 3mths ndo mpewe hizo 500k! Kuna makundi mawili..yavijana na wamama km sikosei...na awe amepita sijui veta awe ana cheti gan sijui(km yuko upande wa vijana)..km wamama uwe unafuga..unashona vikapu sijui unalima bustan..blah blah kibaooo..unaishia kupewa 500k! Sema riba ndo ndg...!



dodge
 
Back
Top Bottom