Kisulisuli cha mwezi Januari: Bank of Africa Loan

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
27,866
2,000
Polepole alisema kuna mikopo ya vijana,wanawake na walemavu huko halmashauri,kama vipi nenda halmashauri ukachukue mpunga.

dodge
 

Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,767
2,000
Mugabe one,

Ndugu nenda kakope CRDB unapata mkopo wako ndani ya siku tatu tu. Hawana longolongo.
Ila nakushauri zaidi pitia bank nne hadi tano uone makato na riba zao na utatakiwa urudishe tsh ngapi kwa hiyo hela wakatayokupa. Ukishajiridhisha haya. Amua utachukua mkopo bank gani mwenyewe.
 

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
29,378
2,000
Polepole alisema kuna mikopo ya vijana,wanawake na walemavu huko halmashauri,kama vipi nenda halmashauri ukachukue mpunga.

dodge


Hyo mikopo best acha tu..kwnza hawapend ijulikane...pili hupew alone..unaambiwa muunde kundi ..hilo kundi mnaweza kaa 3mths ndo mpewe hizo 500k! Kuna makundi mawili..yavijana na wamama km sikosei...na awe amepita sijui veta awe ana cheti gan sijui(km yuko upande wa vijana)..km wamama uwe unafuga..unashona vikapu sijui unalima bustan..blah blah kibaooo..unaishia kupewa 500k🤔! Sema riba ndo ndg...!
 

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
27,866
2,000
Duuuh yaani vigezo vyote hivyo mwisho wa siku upewe 500k only?

Wahindi wanasema nehi nehi mkuu.

Hyo mikopo best acha tu..kwnza hawapend ijulikane...pili hupew alone..unaambiwa muunde kundi ..hilo kundi mnaweza kaa 3mths ndo mpewe hizo 500k! Kuna makundi mawili..yavijana na wamama km sikosei...na awe amepita sijui veta awe ana cheti gan sijui(km yuko upande wa vijana)..km wamama uwe unafuga..unashona vikapu sijui unalima bustan..blah blah kibaooo..unaishia kupewa 500k! Sema riba ndo ndg...!dodge
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom