Kisu cha Ngariba

Mehek

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
7,474
10,417
Roho inaniuma mno rafiki yangu kapigwa banned hata sijui kafanya kosa gani, moderate namuombea msamaha kwa kosa alilolifanya pamoja na sijui kafanya kosa maana na km wiki hivi sijsjiusha na chochote Jf hasa hasa kuchangia mada huwa napita tu kuna mahali nimeweka genge...... Pole sana rafiki yng mpedwa!!!!!!!!!! Kisu cha Ngariba soon utakuwa free

cc: @Moderate
 
Muahidi kitu kizuri basi utakacho mpa akitoka mahabusu ya jf!
 
Ingekua uraiani ningesema niishi na watu vizuri ili nililiwe sasa online niishije? Nigawe sana like au?

Ila rafiki yako huwezi kosa mawasiliano yake, ungemuuliza kosa lake huko huko, kama huna mawasiliano yake huyo siyo rafiki yako, mnazuga.
 
Wafate PM Mkuu,hautokosa ata mmoja.

Kuhusu mawasiliano,labda wameamua kutumia JF kuwasiliana na sio namba za simu. Siunajua hakuna urafiki wa mwanamme na mwanamke?
 
Wafate PM Mkuu,hautokosa ata mmoja.

Kuhusu mawasiliano,labda wameamua kutumia JF kuwasiliana na sio namba za simu. Siunajua hakuna urafiki wa mwanamme na mwanamke?
Urafiki upo si ndo huu unauona
 
Back
Top Bottom