Kistaarabu, Rais alitakiwa awaombe radhi wakulima wa korosho

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
Rais ndiye aliyewapa wakulima matumaini kuwa serikali itazinunua korosho zote, aliongeza kusema kuwa na pesa ya kununulia imeshatengwa.

Kwa nchi zilizostaarabika na kwa Rais aliye concerned na watu wake, baada ya mauzo ya korosho kuvurugika na wakulima kupata hasara, rais kwa cheo chake na uhusika wake alitakiwa awafariji angalau kwa kuwaomba radhi kwa niaba ya serikali.

Rais kuomba radhi siyo udhaifu ni ujasiri, ni kitendo cha kuonyesha anajali matatizo ya wananchi wake, na hatakuwa rais wa kwanza kuomba radhi.

President Uhuru Kenyatta, May 2, 2018:

"I apologise for my foul language during the campaigns, If there was anything I said last year that hurt or wounded you, if I damaged the unity of this country in any way, I ask you to forgive me, and join me in repairing that harm".

President Barack Obama, Jan 27, 2009:

"My job to the Muslim world is to communicate that the Americans are not your enemy. We sometimes make mistakes. We have not been perfect".

President Donald Trump, Oct. 8, 2016:

"I’ve never said I’m a perfect person, nor pretended to be someone that I’m not. I’ve said and done things I regret, and the words released today on this more than a decade-old video are one of them. Anyone who knows me, know these words don’t reflect who I am. I said it, I was wrong, and I apologize".
 
Aombe msamaha? kwani hizo korosho ni kweli zinarejeshwa kwa wakullima? hizi si propaganda za waliopokwa kitumbua mdomoni? Nawaza tu!
 
- JIWE ni Malaika Mkuu.

- Ni kiongozi wa Malaika.

- Mtukufu JIWE Hajawahi kukosea.

- Ni mtawala ambaye anaona kafanya makubwa sana kuliko kiongozi yeyote aliyewahi kuwepo Tanzania na atakayekuwepo na kama kuna changamoto yeye Jiwe hatazitatua hakuna atakayeweza.

- Anataka kuungwa mkono tu kwa kila anachofanya na siyo kinyume chake

- Hivyo hajawahi, hawezi na haitatokea yeye kuomba msamaha.

Kama lilivyokufa zao la KAHAWA, MBAAZI, UFUTA, MCHIKICHI na MKONGE na sasa ni zamu ya KOROSHO.

- CCM wana laana ya damu za watu, wasijue kuna MAHALI panatoa chochote LAZIMA wapavuruge.

- Baada ya kuvuruga kote sasa wamekimbilia kwa MACHINGA, Tusubirie VILIO VYA MBWA KOKO !
 
President Uhuru Kenyatta, May 2, 2018:

"I apologise for my foul language during the campaigns, If there was anything I said last year that hurt or wounded you, if I damaged the unity of this country in any way, I ask you to forgive me, and join me in repairing that harm".
Sometimes nashawishika kuamini kuwa BANGI ikitumika vizuri inakuletea busara sana, jamaa ana busara sana sana
 
Back
Top Bottom