Kistaarabu, Rais alitakiwa awaombe radhi wakulima wa korosho

Alishindwa kuomba radhi kwenye makanikia ,tetemeko la kagera na sasa korosho .Jiwe Mungu anamuona bado anatesa watu maisha magumu sana ambayo ameyaleta kwa watanzania Mkapa ,Mwinyi na kikwete mungu anawaona kwa kuwabambikizia shetani watanzania .
 
Hilo la kuomba radhi kwa wakulima ndilo linalotakiwa......

Lakini kwa huyu Jiwe hatakuwa tayari kufanya hivyo
 
Ni kweli mkuu zinarudishwa, na sio kitu kipya hata zamani ilikua ukipeleka korosho wanachambua zile mbovu unarudishiwa,
Kipindi hiki walichukua zote tuu bila kuchambua, hivyo zinazorudishwa ni kweli hazina ubora
Kuna baadhi ya maeneo uzalishaji wa korosho zao mara nyingi hua hazina ubora mfano wilaya ya Newala ukienda Makonga, Namiyonga n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah sasa kuna label gani inayoonyesha kuwa hizo ninazorejeshewa zimetokana na nilizopeleka? Naomba kupata ufahamu!
 
STOO ZA MIPUNGA KUNA VUMBI MAARUFU KWA JINA LA 'KIVUGUYE' LIKIKUKUMBA CHAFYA HUANZIA 1000 NDO UTAWALA HUU YAANI UNAKUTIBULIA KILA KITU HALAFU UKIHOJI UATAAMBIWA WEWE UNAUNGA MKONO USHOGA, MARA UNAUNGA MKONO MABEBERU, UTAAMBIWA HUUNGI MKONO JUHUDI, MARA HUNA UZALENDO NA MWISHO UTAAMBIWA UPIMWE MKOJO YAANI UKISIKIA DISKO KATIMBA MMASAI NDO HALI KAMA HII MAANA MMASAI AKIRUKA JUU KABLA HAJATUA CHINI KUNA ATAKAE KULA RUNGU LA UTOSI MWINGINE UTASHANGAA SIME LIMEPITIA MASIKIO NA UKAJIKUTA UPO KAMA KAMONGO SHYNZ
 
Rais atumie hii ziara ya kesho kutwa Mtwara kuwaomba msamaha wakulima wa korosho.
 
Haombwi mtu samahani. Na akienda atawapiga kamba pesa zilizobakia ziko njiani zinaletwa na malori ya jeshi so wasubiri mgao.
 
Back
Top Bottom