INAUZWA Kisscafe 3canister coffee vending machine

Maulid jnr

Member
Mar 25, 2021
66
60
Nauza machine ya katungeneza kahawa , capuccino etc. Inaweza kutumika ofisini , nyumbani, au hata kwenye biashara kuuzia chai na kahawa.
Machine iko automatic na inaweza kukupa hesabu ya vikombe ilivyouza kwa siku bila ya wewe mwenyewe kuwepo( kwa mfanyabiashara)

Machine bado iko kwenye hali nzuri sana.

Nauza 750,000 kwa atakae hitaji nicheki kwenye namba hii 0783150130.
image-2021-03-31-22:43:27-353.jpg

image-2021-03-31-22:43:47-468.jpg

image-2021-03-31-22:44:11-606.jpg

image-2021-03-31-22:44:58-552.jpg
 
Ingekuwa niko vizuri ningeichukua japo sijajua kwa bongo sheria za operation yake zikoje kuhusu TRA

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app

Haina mahusiano na tra , ukiweka dukani au supermarket lazima utakua na machine ya tra hivyo ukiuza chai au kahawa unampa mteja risiti kama unavyotoa ukiuza bidhaa nyingine. Ukiweka home kwa matumizi ya nyumbani basi tra hawahusiki
 
Back
Top Bottom