Kisomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kisomo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by 4X4byfar, Mar 30, 2009.

 1. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2009
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Za leo wana jf, jamani naombeni kuuliza, hivi ni kweli kisomo kinaweza kupelekea uelewano mbovu katika mahusiaono? Yani kama vile upeo wakuelewa na kutafakari mambo ukawa tofauti, mfano: Mke ana Degree na Mme ni std seven. Na katika hali kama hii je, kunamsaada gani wakuweza kusaidia hizi pande mbili ziweze kuelewana na kufikia muafaka. Asanteni.
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,546
  Trophy Points: 280
  Yes kisomo kinaweza kuleta matatizo sana ya maelewano pale ambapo mke ndiye msomi zaidi ya mume halafu mke akawa anajisikia na usomi wake by looking down upon mumewe hiyo itamfanya mume anyong'onyee by feeling small hivyo mpaka performace ya 6x6 itashuka na hamu itapungua mwisho itapotea kabisa.
  Mke akiwa msomi zaidi ya mume na mume akiwa na inferiority complex, meme atataka kuproove superiority kwa kubehave in strange ways including kuwa rude na kumdharau au kumdhalilisha mkewe mbele ya watu ili wamuone she is nothing.

  Dawa ya kwa kwa mke msomi, no matter shule imepanda vipi, usiivae hiyo shule usoni, be simple and down to earth, muonyeshe mumeo you are nothing and he is everthing.
  Pili zikitokea argument, ukishinda, dont reffer kwenye shule, itaonekana ni dharau. Kwa vile mtadifer the way you think on things, let him be the winner at the argument, then wakati yuko calm, mpige darasa na atakapojiana mjinga, atakuheshimu.
  Na mwisho, its not too late to learn. Kuna mtu amegraduate open universty ya bongo over 60yrs. Hivyo mpush push mwenzio muhakikishie hajachelewa.
   
  Last edited by a moderator: Mar 30, 2009
 3. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2009
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana pasco kwa jibu lako...uliyo sema kaka ni fact tupu na ndivyo he is behaving towards me. ok, ila kabla yakuoa aliuza a question "will I manage to stand with a class seven person" kwa kweli nilimwambia I will and I will help him with the small education I have...then tukaoana.

  Pili zikitokea argument, ukishinda, dont reffer kwenye shule, itaonekani ni dharau. Kwa vile mtadier the way you think on things, let him be the winner at the argument, then mpige darasa na atakapojiana mjinga, atakuheshimu. Hapa kuna sehemu in blue imevuruga sentesi zima...sijakupata vizuri unaweza kunifafanulia tena? Niko uk, na yeye ameshaishi huku kama 10 yrs...khs shule namhimiza sana kwa kweli, ila nadhani anajihisi kuchelewa au ni ivivu pia sijui. Yani nilimwambia i will be ready to take care of the home ili asome tuu. Nampenda sana.
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,546
  Trophy Points: 280
  Kwa asante kwa kupenda. Belive me 'love will conquer all' yaani umebarikiwa na utazidi kubarikiwa sana for standing up for love no mater what. Mimi na wife tulisoma wote tukaona mapema tuu baada ya shule. Tukahangaika kutafuta maisha London the US. Mke akapata sponsor akapiga shule zaidi yangu. Amini usiamini nilichezea buti.

  Samahani nimesoma jibu langu makosa ni mengi. Narekebisha na kutuma tena. Natumia simu, font ni ndogo sana kupreview naingia uvivu. Neno hilo lilikuwa'mkidifer'
   
 5. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2009
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ok nimekupata baba, na asante sana kwa mchango wako.
   
Loading...