Kisome kifungu 79(c) cha sheria ya posta ambacho pia kashtakiwa Bosi wa JF, kina kosa gani?

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,438
14,916
IMG-20161216-WA0063.jpg
IMG-20161216-WA0037.jpg
IMG-20161216-WA0063.jpg
 
Attachments

  • IMG-20161216-WA0064.jpg
    IMG-20161216-WA0064.jpg
    111.4 KB · Views: 52
  • IMG-20161216-WA0064.jpg
    IMG-20161216-WA0064.jpg
    111.4 KB · Views: 51
  • IMG-20161216-WA0064.jpg
    IMG-20161216-WA0064.jpg
    111.4 KB · Views: 61
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Hapo hamna kosa lolote, maana kwanza Max hajawakataza wao kufanya shughuli yao ya kuprovide hiyo oversight ya ccTLD.

pili hakuna mahali popote katika sheria panapokataza Mtanzania, kumiliki Website ya domain ya dot com mahali popote duniani, kama hiyo ingekuwepo basi maanake Mtanzania yeyote diaspora anayemiliki website yenye domain ya dot com akitia mguu tu Uwanja wa ndege DSM basi anakamatwa!, hii itakuwa kinyume na conventions za kimataifa juu ya uhuru wa Intaneti!
 
Melo Hana kesi

1.Kosa la kwanza na la pili-------------Amegoma kutoa taarifa kwa sababu kuna kesi mahakamani ambayo haijatolewa uamuzi ikipinga yeye kutoa hizo taarifa....Serikali walipaswa kusubiri kwanza maamuzi ya hiyo kesi

2.Kosa la tatu----Hakuna kesi hapo kwa sababu hiyo section inatoa tu uelekeo kwa mamlaka kuhamasisha matumizi ya .TZ
 
Hapo nimekupata sawasawa,nadhani akipata dhamana,ataenda kulalamika mahakama kuu kuhusu kosa la kwanza na la pili na inawezekana kesi mbili zikazuiwa kusubiri maamuzi ya mahakama kuu
 
Back
Top Bottom