Kwamba leo Pohamba upo against ccm, siamini haki ya nani!!'...Dhalimu hawezi acha udhalimu kwa wingi wetu wa Makongamano ya kulaani au wingi wa mabango ya kulaani kwny maandamano , Bali kwa kumfanya nae ahisi udhalimu Kama tunaouhisi sisi kwa Viwango sawaa...'Sheikh Ponda Issa Ponda
Kwamba leo Pohamba upo against ccm, siamini haki ya nani!!
Hapo nimekupata sawasawa,nadhani akipata dhamana,ataenda kulalamika mahakama kuu kuhusu kosa la kwanza na la pili na inawezekana kesi mbili zikazuiwa kusubiri maamuzi ya mahakama kuuMelo Hana kesi
1.Kosa la kwanza na la pili-------------Amegoma kutoa taarifa kwa sababu kuna kesi mahakamani ambayo haijatolewa uamuzi ikipinga yeye kutoa hizo taarifa....Serikali walipaswa kusubiri kwanza maamuzi ya hiyo kesi
2.Kosa la tatu----Hakuna kesi hapo kwa sababu hiyo section inatoa tu uelekeo kwa mamlaka kuhamasisha matumizi ya .TZ
Hata Pilato alivyowasikiliza wale Mayahudi wakimshitaki Yesu still hakuona popote pale ambako Yesu alikua na makosa,Binafsi sijaona jinai inayoigusa JF, labda wengine wataiona, ngoja waje