Kisiwa cha Pemba kuangukia kenya!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Mgogoro wa mipaka ya bahari kati ya Kenya na Somalia, unaweza kuathiri milki ya kisiwa cha Pemba ambapo katika mchoro huo mpya wa mpaka, unakihusisha kisiwa cha Pemba kuwa mali ya nchi ya Kenya.

Chanzo cha habari hizi ni BBC.
 
Mgogoro wa mipaka ya bahari kati ya Kenya na Somalia, unaweza kuathiri milki ya kisiwa cha Pemba ambapo katika mchoro huo mpya wa mpaka, unakihusisha kisiwa cha Pemba kuwa mali ya nchi ya Kenya...
Chanzo cha habari hizi ni BBC.
ni vyema hata unguja wakachukua maana migogoro yao isiyo na ukomo imetuchosha...........na madini kama yapo baharini waendelee kuvuna.
 
Mgogoro wa mipaka ya bahari kati ya Kenya na Somalia, unaweza kuathiri milki ya kisiwa cha Pemba ambapo katika mchoro huo mpya wa mpaka, unakihusisha kisiwa cha Pemba kuwa mali ya nchi ya Kenya...
Chanzo cha habari hizi ni BBC.
Vuta picha hiyo kenya itakuwaje kama wakiongezewa na hawa watu
 
Mgogoro wa mipaka ya bahari kati ya Kenya na Somalia, unaweza kuathiri milki ya kisiwa cha Pemba ambapo katika mchoro huo mpya wa mpaka, unakihusisha kisiwa cha Pemba kuwa mali ya nchi ya Kenya...
Chanzo cha habari hizi ni BBC.

Hakiwezi kuangukia Kenya, Unguja na Pemba zilikuwa ni Dola kabla ya hiyo Kenya, labda useme Mombasa na visiwa vyake ndio viingiie Pemba
 
tatizo ni somalia kuuchukua ukanda wote wa kenya hawatafanikiwa na sioni kenya kama watawakubalia................hoja zao hazina uhusiano na historia au hata wakaazi wa kisomali kwenye hizo pwani hakuna...............na ukichangia na uharamia wao na uroho wa malighafi baharini sioni somalia kushinda hiyo kesi ingawaje ingependeza yale makubaliano ya uk na sultan wa oman kuhusu zanzibar yakatenguliwa na zenji wakarudishwa kenya ambako hukimbilia kule shimoni wanapokumbwa na dhoruba zao za chaguzi
 
Hakiwezi kuangukia Kenya, Unguja na Pemba zilikuwa ni Dola kabla ya hiyo Kenya, labda useme Mombasa na visiwa vyake ndio viingiie Pemba
dola ziliundwa na nani kama siyo sultan wa oman ambaye aliwauza wakiwa humohumo ndani.
Mwingereza aliona mbali usalama wa east afrika haupo kwa kenya bila bandari na ndiyo ramani ilibidi kuchongwa upya kubadili leo ni kutafuta vita na umwagaji wa damu usiyo wa lazima..........
 
Mgogoro wa mipaka ya bahari kati ya Kenya na Somalia, unaweza kuathiri milki ya kisiwa cha Pemba ambapo katika mchoro huo mpya wa mpaka, unakihusisha kisiwa cha Pemba kuwa mali ya nchi ya Kenya...
Chanzo cha habari hizi ni BBC.
Kwa hiyo CUF itabidi ikasajiliwe Kenya na kujifuta huku Tanzania bara na Unguja? Wafanye hivyo haraka kabla ya uchaguzi wa August 2017 huko Kenya
 
Mgogoro wa mipaka ya bahari kati ya Kenya na Somalia, unaweza kuathiri milki ya kisiwa cha Pemba ambapo katika mchoro huo mpya wa mpaka, unakihusisha kisiwa cha Pemba kuwa mali ya nchi ya Kenya.

Chanzo cha habari hizi ni BBC.
Wacha uwongo BBC haijaandika kama Pemba itaangukia Pemba.na angalia vizuri usiwe unakurupuka tu.. mzozo baina ya kenya na somali hautoathiri kabisa mpaka baina ya Zanzibar(Tanzania) na Kenya.
Mpaka wa Bahari unakuwa unachora parallel line kutoka mpka wa nchi kavu kuendea baharini..lini hiyo inafikia kikomo kama kuna territory nyengine kwenye bahari(visiwa na ukomo wake unakuwa nusu ya masafa baina ya nchi hizo mbili kama umbali baina yao haufiki 400Km. kwa hivyo line utakayochora kuanzia mpaka baina ya kenya na Tanzania hautofika Pemba hata siku moja.
Soma vizuri kabla ya kuleta upupu wako hapa
 
Mgogoro wa mipaka ya bahari kati ya Kenya na Somalia, unaweza kuathiri milki ya kisiwa cha Pemba ambapo katika mchoro huo mpya wa mpaka, unakihusisha kisiwa cha Pemba kuwa mali ya nchi ya Kenya.

Chanzo cha habari hizi ni BBC.
Dar es salaam nayo ianguke Pwani na Pwani isogee Moro goro ili tuheshimiane!
 
Back
Top Bottom