Kisirani

Qurie

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
2,749
Points
2,000

Qurie

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
2,749 2,000
Mtu mwenye kisirani anapenda kukuza Mambo.... Yaan kitu kidogo tuuu yeye atakikuuuza kaugomvi kadogo tuu yeye atakakuuuuza...... Mtu mwenye kisirani anpend kuhifadhi vitu moyoni.... Utatokea mkwaruzano yatapita na utayasahau lakini muhusika atakua bado analo tuu
 

Forum statistics

Threads 1,344,244
Members 515,354
Posts 32,812,521
Top