Kisimbuzi gani cha Ku band(dish dogo) kinahimili hali ya hewa km mawingu na mvua bila kukata matangazo?

deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,405
520
Habari wadau, kama nilivyoeleza hapo juu nampango wa kununua kisimbuzi sasa naomba anaejua kipi kina himili mazingira nilioeleza hapo juu msaada wadau.
 
Nunua Kisimbuzi cha mediacom au chochote Cha FTA chenye Uwezo Wa Mp4, Tafuta Dish Ndogo Funga Kula Maisha.
 
Back
Top Bottom