Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,484
Kampuni ya Azam Media kupitia kisimbusi chao walikuwa na tv ya Afrika kusini iitwayo e.tv. e.tv walibobea katika mieleka ambayo ni ya karibuni (latest) kama wiki moja tu. Sasa tangu Feb wameing'oa sasa wengine wapenzi wa mieleka tumekosa uhondo wa kina Roman Reign, John Cena, Kelvn Owen, The Rock nk.
Azam Media hebu rudisheni hiyo TV.
Azam Media hebu rudisheni hiyo TV.