Mkuu hii bado ipo? Kili time CHQ?TOYOTA RAV 4 KILITIME
FULL DOCUMENTS
FULL AC
CC 1990
BEI 9 MIL
Call 0712-787939View attachment 2025322View attachment 2025323View attachment 2025324
Mkuu hivi Killitime za 1790 na 1990cc utofauti mkubwa upo wapi?! Mana wengine wanasema 1990cc huwa zinasumbua sana.Mkuu hii bado ipo? Kili time CHQ?
Kwa faida ya wengi tu nadhani architecture ya engine za 2.0L huwa inamatatizo sana!Mkuu hivi Killitime za 1790 na 1990cc utofauti mkubwa upo wapi?! Mana wengine wanasema 1990cc huwa zinasumbua sana.
Utofauti ni kuwa 1790cc ama 1.8L ni engine ndogo ya 1ZZ-FE ila hainaga magonjwa kabisa! Ulaji wake wa mafuta ni mzuri pia haichagui sheli we kokote unajaza tu!Mkuu hivi Killitime za 1790 na 1990cc utofauti mkubwa upo wapi?! Mana wengine wanasema 1990cc huwa zinasumbua sana.