Kisiki cha Simba Ndani ya Bodaboda

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
0.jpg
Beki mpya wa Simba SC, Issa Rashid 'Baba Ubaya' akiwa amepanda pikipiki maarufu kama Boda Boda, baada ya mazoezi ya leo asubuhi kwenye Uwanja wa Kinesi, Urafiki, Dar es Salaam akirejea nyumbani kupumzika kabla ya mazoezi ya jioni.
 
Safari na muziki; Baba Ubaya akielekea nyumbani baada ya mazoezi
00.jpg
 
Usajili wake cholo katoa hela, mshara laki3 bodaboda inamtosha ndo hadhi yake
dunia ya tofauti, kuna mwingine kasajiliwa kwa m 50, na wote watacheza timu moja ushindi mmoja........akikaza buti na yeye atakua lulu usajili ujao
 
Hivi kweli simba imeshidwa kuwanunulia wachezaji wake magari.
Kwali simba siyo timu
 
huo usafiri anaotumia pia ni sehemu ya mkataba au?
 
masifa mengine bwana hivi simba ishawai toa mchezaji akacheza ligi ya ufaranda,spain,italy,wingereza au uholanzi
hiyo ndiyo tasfiri ya KISIMA cha SOKA? kama ndivyo taja nchi zote.......locally tu, kwa Yanga (Mabingwa wa Vilabu Afrika Mashariki na Kati vide Kagame Cup) kuna nusu ya wachezaji toka Simba haluina ubishi hilo na msimu wa usajili ukianza tu jicho la kwanza la Yanga linakwenda kwa Vipaji vilivyopko SIMBA na hili utabisha?
 
Back
Top Bottom