Kisiasa Nini Maana ya Uteuzi wa Paul Makonda Jana?

Apr 27, 2006
26,588
10,375
Wiki moja iliyopita Mh. Makonda alifanya mkutano na Waandishi wa Habari na kusema maneno mazito sana kuhusiana na mbio za Urais 2015, wakatokea Viongozi wengi waliomjibu kwamba amekosea na wengine wakaamuunga mkono kuwa yupo sawa jana Rais wa Jamhuri amemteua kwenye Bunge la Katiba,

Maana yake inaweza kuwa nzito sana depending na nani anaisoma hii situation, ila kwa maneno rahisi sana bila kuchanganya habari ni kwamba Rais ankubaliana na maneno ya Makonda kwenye ule mkutano wake na waadishi, au mnasemaje?

FMES - Wazeee Wa Sauti Ya Umeme.
 
Big Show Sauti ya Radeeee!!
Mmoja aliyemuunga mkono ni Malecela Ha Ha Ha Ha Ha Le Big Show kama vipi ebu tumuone kwanza kwenye bunge then tumpime.
 
WATU WENYE MALENGO YANAYOFANANA – (WAJUMBE 20)
TANZANIA BARA (14)
1. Dr. Christina Mnzava2. Paulo Christian Makonda
3. Jesca Msambatavangu4. Julius Mtatiro
5. Katherin Saruni6. Abdallah Majura Bulembo
7. Hemedi Abdallah Panzi8. Dr. Zainab Amir Gama
9. Hassan Mohamed Wakasuvi10. Paulynus Raymond Mtendah
11. Almasi Athuman Maige12. Pamela Simon Massay
13. Kajubi Diocres Mukajangwa14. Kadari Singo
Jamani yupi katika orodha hii anatokea CHADEMA? maana hao niliowawekea RED - CUF na BLUE - CCM .
 
Duh huyu dogo yumo kwenye bunge la katiba.Namkubali sana huyu dogo anaujasiri wa ajabu.

Yaaani I hope mwenye akili ameelewa maana yake ila kuna mizumbukuku ambayo hata upige na mawe bado haiwezi kuelewa ujumbe mzito huo uliorushwa jana liveeee!!

Es
 
Kijana Makonda kweli ana guts!! kawatukana viongozi wote wa dini mbili kuu Tanzania kuwa wote ni ombaomba!! eti wanaomba misaada kutoka kwa mhe Lowassa!! na mhe Malecela kamuunga mkono -----ndivyo tuleavyo watoto wetu kana kwamba hakuna miiko, kule kuchaguliwa tena kuwa mbunge kwenye bunge la katika yaonyesha kuwa taifa linaekea kubaya kuhusu malazi ya watoto.
 
Kijana Makonda kweli ana guts!! kawatukana viongozi wote wa dini mbili kuu Tanzania kuwa wote ni ombaomba!! eti wanaomba misaada kutoka kwa mhe Lowassa!! na mhe Malecela kamuunga mkono -----ndivyo tuleavyo watoto wetu kana kwamba hakuna miiko, kule kuchaguliwa tena kuwa mbunge kwenye bunge la katika yaonyesha kuwa taifa linaekea kubaya kuhusu malezi ya watoto.
 
Big up makonda kalinde maslahi ya ccm tubayoimini sis vijana kuijenga na maadili ya taifa tulitakalo. Simamia misimamo dhabiti na maadili tuyatakayo.
 
WATU WENYE MALENGO YANAYOFANANA – (WAJUMBE 20)
TANZANIA BARA (14)
1. Dr. Christina Mnzava2. Paulo Christian Makonda
3. Jesca Msambatavangu4. Julius Mtatiro
5. Katherin Saruni6. Abdallah Majura Bulembo
7. Hemedi Abdallah Panzi8. Dr. Zainab Amir Gama
9. Hassan Mohamed Wakasuvi10. Paulynus Raymond Mtendah
11. Almasi Athuman Maige12. Pamela Simon Massay
13. Kajubi Diocres Mukajangwa14. Kadari Singo
Jamani yupi katika orodha hii anatokea CHADEMA? maana hao niliowawekea RED - CUF na BLUE - CCM .

Kichwa cha habari kimeshajieleza, WATU WENYE MALENGO YANAYOFANANA. Hapo huwezi kujiuliza maswali magumu tena.
 
Inabidi tufungue thread zaid ya 201 ikiwa kila alieteuliwa tunamjadili!?

Ok who is makonda!?

CCM tunahitaji Vijana kama Makonda wenye ujasiri wa kusimama na kuhesabiwa bila kujali anything, inaitwa Speak the Truth and let the chips fall where they may!!

Nasikia Malawi wanapokea wakimbizi kudadeki!!, mtalijua jiji!!

Es
 
Mtu makini hufanya huteua watu makini, saa ni lini JK akateua watu makini?? Mawaziri kila siku mnahangaika nao, mimi mwenzenu nina count down JK atoke . . . .
 
Back
Top Bottom