Kisiasa, kwa matukio haya mawili unapata tafsiri gani?

Serikali inagoma kuwasaidia watu waliopata matatizo kutokana na natural disaster, lakini Cha ajabu watu ambao asilimia kubwa walikuwa wezi serikali inagoma msaada na kuwajali bila ya kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria kwa ajili ya kujibu tuhuma za jinai zinazowakabili
 
Ni shida sana mimi mwenyewe nilishangaa alivyosema sijui matibabu pamoja na chakula vitalipiwa na serikali......... kungekuwa na TISS pale bar nilipokuwa naangalia hiyo taarifa sasa hivi ningekuwa naongea lugha moja na Ben Saanane kama sio Azron Gwanda.. Niliropoka na tusi juu.

Poleni sana ndugu zangu wa Bukoba Mungu yuu nanyi
 
Kuna tofauti kubwa ya kagera na morogoro.

Kagera inajitegemea Kwa kila kitu Hadi hospital ya serikali ni moja Tu mkoa mzima nyingine 22 ni za kanisa na watu wa binafsi.

Meli ya mv Bukoba tangu imezama usafiri wa Meli umekufa kabisaaa

Morogoro inapendwa serikali huoni hata vyuo vikuu ni vingi morogoro huku kagera hakuna hata kimoja ingawa kagera ndo ina wasomi kibao na ndo wanaoongoza vyuo vya morogoro hl
 
Hiyo ni hofu, propaganda,usanii, uongo na ulaghai kwa ajili ya uchaguzi 2020 na watanzania waliowengi watalia pamoja na shetani mkuu mimi kama mimi sidanganyiki
Kipo kitengo maalumu chenye kupaswa kupaswa kushughulikia majanga mbalimbali yanayoweza kutokea nchini, nafikiri kipo chini ya ofisi ya PM. Lakini kwa makusudi kabisa hakitengewi bajeti ya kutosha (kama ipo). Pindi majanga yakitokea hushughulikiwa kwa "double standards" iliyo dhahiri kabisa pengine kutokana na rekodi za matokeo ya uchaguzi wa 2015.
 
Kuna tofauti kubwa ya kagera na morogoro.

Kagera inajitegemea Kwa kila kitu Hadi hospital ya serikali ni moja Tu mkoa mzima nyingine 22 ni za kanisa na watu wa binafsi.

Meli ya mv Bukoba tangu imezama usafiri wa Meli umekufa kabisaaa

Morogoro inapendwa serikali huoni hata vyuo vikuu ni vingi morogoro huku kagera hakuna hata kimoja ingawa kagera ndo ina wasomi kibao na ndo wanaoongoza vyuo vya morogoro hl
Je huna huakika kwamba sisi tunapendelewa , au ilimradi tu uongee hapa, Kama Morogoro kuwa na vyuo inatokana na Geographical location ya Mkoa ya kwamba ni rahisi kupitiwa na watu wanaoenda mashariki, kasikazini magharibi, magharibi na nyanda za juu kusini. Kama hospital za makanisa MORO tunazo nyingi kuliko Kagera, Matombo ,Mikumi ,Ifakara, Mahenge, Mlimba, Mvomero mapaka vijijini huko vidispensary vya dini na tumekua hatujui hospital ya serikal bali za mission tu, Pia Morogoro ilikua na vyuo toka mkoroni, TTC, IDM, Kigurunyembe, na vingine ambavyo watu kutoka makabila mbalimbali walisoma hapo. Sisi Morogoro hatuna umimi kama nyinyi, Morogoro mjini kuna makabila kama yote. Ndio maana ajari ya Msamvu katika Majeruhi 60 Waluguru kama 15 tu wengine ni makabila mengine. Lakini nyinyi tetemeko la ardhi walioadhirika ni Wahaya wenyewe. Jifunzeni kuishi na watu mtafanikiwa. Mna elimu lakini mkoa wenu (Kagera) masikini sana, kwa sababu hamtaki kujifunza kwa wenzenu ambao mnawaona masikini. Utajiri upo kwa masikini.
 
Kagera gani hiyo maskini Sana kushinda Moro labda ya Burundi.

Unaweza linganisha vijiji vya Bukoba na morogoro?

Kuhusu hospital,idadi ya shule za binafsi na dini Bukoba inapiga mbali Sana morogoro.
Kwenye elimu mkoa wenu unakuwaga wa mwisho kila mwaka huku kagera haikosi ten best

Nyie serikali Tu ndo inawajali huoni hata reli ya kisasa,vyuo kibao ,viwanda kibao vya serikali.

Ili kuonesha serikali inavyowajali angalia jinsi serikali ilivyoshugulikia janga la morogoro ulinganishe na kagera .

Ukitaka ulinganishe kagera na morogoro anzisheni Uzi nitakuwepo Kwa picha na fact.

Pia population ya kagera ni kubwa mno kuliko Moro mbali kumbuka kagera ni ya tatu baada ya dar na mwanza Kwa watu na population density.

Mwisho kagera hakuna wahaya Tu .kuna wanyambo,wahangaza na wasubi pamoja na wanyankole na wanyarwanda .
 
Tetemeko la Ardhi Kagera lililowahusu Watanzania ambao hawakuwa na hatia yoyote ile

" Sijalileta Mimi na hakuna Hela ya Kutoa tuvumiliane tu mwenye Uwezo wake ajenge au msaidiane Kujenga taratibu na isitoshe hata hili Tetemeko limetokana na Uzembe wenu wa Kutokujenga vizuri Makazi yenu na ndiyo maana lilivyokuja limeleta madhara haya makubwa Kwenu hivyo msilalamike"

Ajali ya Lori la Mafuta Morogoro iliyowahusu Watanzania wengi kutokana na Uzembe Wao

" Ni bahati mbaya hawakuiombea Ajali na nimewapa Wagonjwa Pesa za Kujikimu Shilingi Laki Tano Tano, naomba watibiwe daraja la Kwanza, wale wanachotaka ikibidi hata Wavimbiwe kisha Bili iletwe Serikalini tutalipa tu hata ikiwa ni kiasi gani na hata Wahudumu nao nimewapa Pesa pia kwa Kazi yao nzuri "

Karibuni katika Mjadala.
UNAFIKI ULIOTUKUKA TOKA CCM. HAKI SAWA KWA WANANCHI NDIO HIZO!!!
 
Watanzania sio wajinga! Mungu atamlipa kwa kadri anavyowekeza kwenye roho na akili zetu!
 
Kagera gani hiyo maskini Sana kushinda Moro labda ya Burundi.

Unaweza linganisha vijiji vya Bukoba na morogoro?

Kuhusu hospital,idadi ya shule za binafsi na dini Bukoba inapiga mbali Sana morogoro.
Kwenye elimu mkoa wenu unakuwaga wa mwisho kila mwaka huku kagera haikosi ten best

Nyie serikali Tu ndo inawajali huoni hata reli ya kisasa,vyuo kibao ,viwanda kibao vya serikali.

Ili kuonesha serikali inavyowajali angalia jinsi serikali ilivyoshugulikia janga la morogoro ulinganishe na kagera .

Ukitaka ulinganishe kagera na morogoro anzisheni Uzi nitakuwepo Kwa picha na fact.

Pia population ya kagera ni kubwa mno kuliko Moro mbali kumbuka kagera ni ya tatu baada ya dar na mwanza Kwa watu na population density.

Mwisho kagera hakuna wahaya Tu .kuna wanyambo,wahangaza na wasubi pamoja na wanyankole na wanyarwanda .
Wewe kweli una matatizo, Soma takwim za NBS huone mpo Wa ngapi katika rank za umasikini. Alaf unaposema Kagera ni kubwa kwa population, nimekuona hujielewi. Morogoro ni ya pili kwa ukubwa eneo Tanzania, idadi ya watu ni milion 2,300,000. Mikoa ambayo inaishinda Morogoro ni 1.Dar, 2. Mwanza, 3. Mbeya na 4.Tanga alafu ndio Morogoro. Elimu haina effects yeyote katika maisha zaidi kukuomboa fikra. Njoo uone Dada zako Wakihaya wanajiuza huku, ndo utaona kama elimu imewakomba au la. Usifananishe mkoa wa Kagera na Morogoro wakati wahaya wamejazana morogoro. Ata unipe hela siwezi ishi Kagera, maana nitakua napoteza muda duniani wakati wenzangu wanaishi. Nimefunga mjadala.
 
Similar Discussions

20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom