Kisiasa, kisheria nini maana ya neno 'MICHONGO'?

Tardy

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
1,288
1,604
Mara nyingi nilikuwa nasikia kwa vijana vijiweni Luna mchongo pale.

Nikaja kusikia mgombea Fulani anawambia vijana nitawapa michongo.

Jana nimesikia mahakamani Michongo.

Nini maana halisi ya neno Michongo?

Je, ina athali kisheria kutumia neno hilo kwa shahidi awapo mahakamani?
 
Wanamwaga mboga na shahidi anamwaga ugali.Huyu wa mchana huu inaelekea atatapika kupita kiasi. Inasemekana ni komandoo na aliwahi kwenda Sudan kutunza amani.hapa kuna kuumbuana

Tutege masikio

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mchongo

Kujipatia au kutoa chochote kile kwa njia za konakona ama zisizo halali; mfano kazi, pesa, shahidi.[/b]
 
Mchongo wanaanzisha watu wa mitaani wao huko wanapokea tu huko juu na masuti yao

Ova
 
In short, amehitimisha kwa kulalamika mahakamani na sio kuhitimisha ushahidi wake.
 
Kawaambie kijani wenzako wakufundishe sheria, umeandika uharo mtupu hapa
Una mahaba na chama lkn jitahidini katika kuleta mashahidi. Unakuwaje na shahidi ambaye yeye analalamikiwa kesi husika? Ataweza kutenda haki wa pande zote? Au unajua haki ni za mshtakiwa tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom