nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,736
- 6,972
Tatizo lipo kwenye kutangazwa. Hapo ndipo penye mtihani mkubwaKadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka.
Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo.
Video hii hapa
====
SHEIKH PONDA: WAISLAMU TUMEKUBALIANA TUTAMPIGIA KURA LISSU
Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu kushinda kura za urais katika Uchaguzi Mkuu 2020 sio tatizo
Amesema waislamu wote wamekubaliana kumchagua Lissu. Hivyo atashinda tatizo linaweza kuja kwenye suala la kutangazwa
Pia Sheikh Ponda amesema Mungu atashindwa kusikia maombi na sala za watanzania kama hawatamchagua Tundu Lissu kuwa Rais
#JFLeo #JamiiForums #Uchaguzi2020 #TZ2020
View attachment 1603479View attachment 1603480View attachment 1603481
View attachment 1603231