wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,131
Clip za kongwa mzee. Nahamu kujua kilichomkuta mzee wa kifimbo chezawho are you by the way ?
Clip za kongwa mzee. Nahamu kujua kilichomkuta mzee wa kifimbo chezawho are you by the way ?
Wasioelewa dini wanashangilia, pia ameongea uongo kusema waislam wamekubaliana, lini na wapi Waislam walikubaliana?Sheikh Ponda kweli amesema kama Lissu hakuchaguliwa, basi Mungu hatapokea Dua za watanzania? Kama ni kweli basi sheikh amekufuru sana, shekh ponda hana uwezo wa kumsemea mungu, na hajui uamuzi wa mungu utakuwaje.
Fuatilia historia ya huyu Sheikh utaelewa kwa nini anamuunga mkono Lissu.Mwili umenisisimka kwa furaha kubwa na isiyoweza kuelezeka,ccm wameshindwa kumnunua Shekh Ponda. Hakika huyu ni Shekh anayesimamia miiko na maadili ya Uislam na kuyaishi!
Kura zote kwa Lissu!
Kuwa mkweli Ponda ni mtu mkweli asiyetishwa na yeyote awaye kwenye masuala ya kudai haki.Huyu ndio amekuja kuharibu kabisa, maana huwa ana itikadi za kutokupenda amani ya nchi yetu, kwa ujumla Chadema tumebugi sana.
Hivi hii haitaleta athari kwa NEC kuona udini unatumika?Anasema kura zote za Waislamu apigiwe Lissu Tanzania mpya inakuja.
Kumbuka alienda hadi kumjulia hali NairobiSheikh Ponda amezungumza jukwaa moja na Tundu Lissu?
MUNGU ambariki Sheikh Ponda kwa wema huu.
Yeye kama nani anawasemea waislamu
Rangi yako tunaijua kiwa wewe ni mjumbe wa SHRTANI umevaa ngozi ya kondooHuyu ndio amekuja kuharibu kabisa, maana huwa ana itikadi za kutokupenda amani ya nchi yetu, kwa ujumla Chadema tumebugi sana.
Ulitamani wewe na mkeo"Tulitamani kuwa na Kiongozi kama Dr.Magufuli,Tumempata, tunaendelea nae.
KURA YANGU KWA MAGUFULI "
#TulipotokaTunapokwenda
#MagufuliNiMafanikio
#Magufuli5Tena
#ChaguaMagufuli #ChaguaMagufuli #ChaguaMagufuli
kongwa tunaitengenezea uzi maalumClip za kongwa mzee. Nahamu kujua kilichomkuta mzee wa kifimbo cheza
Huyu ndio amekuja kuharibu kabisa, maana huwa ana itikadi za kutokupenda amani ya nchi yetu, kwa ujumla Chadema tumebugi sana.
Usisahau kuna vyombo vya dola ambavyo vinalinda maslahi ya Serikali lkn pia kwa kujua au wengine kutokujua, wanalinda pia maslahi ya chama kilichopo madarakani. Nadhani hofu yao ni kutokana na ukweli kuwa hatujawahi kuwa na utawala wa Chama kingine tangu uhuru hivyo majeshi hayaamini wasiyemjua na wengine wanahofu ya kupoteza ugali! Otherwise, majeshi (JWTZ & POLISI) yakiamua kuwaacha wananchi waamue bila kuruhusu uchafu (unajisi) wowote katika tukio zima la upigaji, kuhesabu kura na kutangazwa, basi ndoto ya wananchi wengi ingetimia! Inshaalah!Na safari hii wakijaribu kuiba kura watakoma, Lissu hataki ujinga, wafadhili/mabeberu nao hawataki ujinga, na wanaomuunga mkono Lissu wote nao hawataki ujinga, CCM itabidi wajue wataibaje hizo kura kwa akili vinginevyo kazi wanayo.
Tufungeni kwa tatu kabla mchanguzi ili Mungu awashulikie wote wenye nia ya kutudhulumu watanzania tukaye mpingia kura LisuKadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka.
Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo.
Video hii hapa
====
SHEIKH PONDA: WAISLAMU TUMEKUBALIANA TUTAMPIGIA KURA LISSU
Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu kushinda kura za urais katika Uchaguzi Mkuu 2020 sio tatizo
Amesema waislamu wote wamekubaliana kumchagua Lissu. Hivyo atashinda tatizo linaweza kuja kwenye suala la kutangazwa
Pia Sheikh Ponda amesema Mungu atashindwa kusikia maombi na sala za watanzania kama hawatamchagua Tundu Lissu kuwa Rais
#JFLeo #JamiiForums #Uchaguzi2020 #TZ2020
View attachment 1603479View attachment 1603480View attachment 1603481
View attachment 1603231
Acha udini. Huyo Ponda siku zote ni udini tu. Ni siku gani atakubali kuwa Mungu ni wa wote na habagui watoto wake. Kwani Ponda ana hatimiliki ya Waislamu?Mwili umenisisimka kwa furaha kubwa na isiyoweza kuelezeka,ccm wameshindwa kumnunua Shekh Ponda. Hakika huyu ni Shekh anayesimamia miiko na maadili ya Uislam na kuyaishi!
Kura zote kwa Lissu!
Huyu ndiye Shehe pekee aliyebaki hapa Tanzania. Ponda ni kiongozi, Ponda ni mtu, Ponda ni mtu jasiri na hana unafiki kama wale walamba viatu vya binadamu.
Yule sheikh Mkuu wa Mkoa wa DSM, Bwana ubwabwa Musa, anaswali siku hizi kupitia Yesu na Mohammed. Njaa mbaya sana.Huyu ndiye Shehe pekee aliyebaki hapa Tanzania. Ponda ni kiongozi, Ponda ni mtu, Ponda ni mtu jasiri na hana unafiki kama wale walamba viatu vya binadamu.
Kiujumla waislamu swami hii wamepigwa sana, masheikh wao wengi wako ndani.
Yule sheikh Mkuu wa Mkoa wa DSM, Bwana ubwabwa Musa, anaswali siku hizi kupitia Yesu na Mohammed. Njaa mbaya sana.
Ponda has always been anti CCM, so him campaigning for Lissu is expected. It is his right to choose who to support and try to convice all Tanzanians to support his candidate of choice. What I do not support or agree with is him calling Muslims to support Lissu. Why Muslims in particular. How about nonMuslims? Should they support Magufuli or Lissu. The best is to leave religion out of this. At the end of the day we want to remain Tanzanians of different beliefs, tribes, regions, gender, age groups etc. That is what matters to us. We do not want Kenyan style politics. Certainly not Middle East style of politics. We do not want that, because we know how costly, in terms of human suffering that type of politics is.Kuudanganya moyo ni kosa kubwa, kwani hata viongozi wa dini, nao ni binadamu kama sisi, wanauamuzi mioyoni mwao, nani wamshabikie na nani wasimshabikie, hivyo, Sena kwamba, inawapasa viongozi wote Wa dini hawapaswi kugawika kuhusu vyama, hawapaswi kuegemea chama chochote zaidi ya kuhubiri haki na amani pia kukemea inapobidi
Kwa sababu, dunuiani kila kitu kinawezekana, Watawala wa Dunia wote si wema, kwa kuwa huangalia mambo yao na si ya Mungu
Wachache mno wenye hofu ya Mungu, na huenda tokea utawala ule wa kifalme uliokuwa ukitumika Israeli uishe, tokea hapo, pengine hakujawahi kuwepo mtawala mwenye kutenda kwa hofu na kukubali kuongozwa na Mungu
Fikiri kwa kina, Embu kiongozi yeyote wa kidini, aegemee upande mmoja wa chama, halafu chama hicho kije kianguke kisishike dola, unadhani atakuwa na amani afanyapo kazi zake??
Kalaga bao....
Sheikh Ponda kweli amesema kama Lissu hakuchaguliwa, basi Mungu hatapokea Dua za watanzania? Kama ni kweli basi sheikh amekufuru sana, shekh ponda hana uwezo wa kumsemea mungu, na hajui uamuzi wa mungu utakuwaje.