Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

CCM washashindwa vibaya mno...sasa wajaribu kuiba kura waone.....

Jiwe alijisahau mno...Mungu kashamuadhibu....hana chake!!
 
Wanasiasa wetu wamekosa hoja kabisa, sasa wanatumia dini kama kigezo kwamba waislamu wamchague Lissu, halafu wakristo wamachague nani.

Kwani hapo tunachagua kiongozi wa dini. Viongozi wetu wa dini wangebaki neutral na vyama vinavyojielewa visingejiingiza kwenye huo utaratibu wa kuombewa kura na viongozi wa dini.

Kiongozi anasema Waislamu tuta kana kwamba Waislamu wamekaa kikao wakatoa hayo maamuzi.

Mungu awajalie viongozi hekima sana. Unaposema hivyo kiongozi wa dini unasababisha huyo unaemnadi aonekane ni mdini na ametumwa na dini yako kwa maslahi ya dini hiyo hivyo wapiga kura wa dini zingine hawahusu na hawana maslahi nae.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app

..hoja yako ingekuwa na nguvu kama Tundu Lissu angekuwa ni Muislamu halafu akapigiwa kampeni na Shekhe Ponda.

..Tundu Lissu ni Mkristo dhehebu la Wakatoliki, na hakuna kiongozi yeyote wa dhehebu hilo aliyempigia kampeni, wala kuambatana naye majukwaani.

..Na Tundu Lissu kuambatana na viongozi wa dini za Kiislamu na Kikristo maana yake ni kwamba anawaunganisha Watanzania wa madhehebu yote, na hana ubaguzi wa kidini.
 
huyo mzee msengerema sana hawezi kusema eti amekubaliana waislam wote utafikir sisi ni wake zake pimbi huyo...
Vumilieni tu mkamuliwe jipu mpone fresh
FB_IMG_1596970740939.jpg
 
Kuna madhara yoyote?

Hakuna madhara yeyote, ndio kilichonishangaza mimi. Tanzania tunaambiwa hakuna corona, kwa hiyo hakujifunika kwa sababu ya corona. Kwa hoyo anaficha uso ili asijulikane tu, na hilo ndilo suali langu kwa nini hataki ajulikane? Je ni secret service au anajitafunia pesa pande zote CCM na Chadema na hataki wamjue?
 
..Tangu kampeni zianze CCM wamekuwa wanatumia Mashekhe wa Bakwata na kamati ya viongozi wa dini kumshambulia Tundu Lissu. Sasa kuna ubaya gani Shekhe Ponda kumsaidia Tundu Lissu ktk kampeni zake? Tena Ponda ana afadhali kwasababu hajaisema vibaya CCM wala mgombea wake.

..Mimi siwapendi Boko haram na Al Qaeda, lakini ni lazima tuelewe ni kwanini watu wanajiunga na ugaidi. Mara zote ni kutokana na injustice na lack of opportunities. Hivi vikundi huwa haviibuki tu hivihivi bila kuwa na mazingira fulani ya watu kunyimwa haki zao, kukosa fursa, kutengwa, kubaguliwa, na kukosa matumaini ya kusikilizwa na watawala.
Kwa Comment hii na mawazo haya, swala la uislaam kuhusishwa na ugaidi litaendelea kuwepo mpaka kiama.
 
Kwa Comment hii na mawazo haya, swala la uislaam kuhusishwa na ugaidi litaendelea kuwepo mpaka kiama.

..zamani magaidi walikuwa wanahusishwa na itikadi za ujamaa na ukomunisti.

..suala la uislamu kuhusishwa na ugaidi nalo linaweza kuwa la kupita.
 
Sheikh Ponda Issa Ponda ni mwanaharakati mzuri sana mwenye kutetea haki kwa kila raia wa nchi hii. Sheikh Ponda ni taasisi. Kila Muislamu na mpenda haki wa nchi hii atampigia kura Tundu Lissu hapo mnamo tarehe 28 October.
FB_IMG_1603045326749.jpg
 
Wanasiasa wetu wamekosa hoja kabisa, sasa wanatumia dini kama kigezo kwamba waislamu wamchague Lissu, halafu wakristo wamachague nani.

Kwani hapo tunachagua kiongozi wa dini. Viongozi wetu wa dini wangebaki neutral na vyama vinavyojielewa visingejiingiza kwenye huo utaratibu wa kuombewa kura na viongozi wa dini.

Kiongozi anasema Waislamu tuta kana kwamba Waislamu wamekaa kikao wakatoa hayo maamuzi.

Mungu awajalie viongozi hekima sana. Unaposema hivyo kiongozi wa dini unasababisha huyo unaemnadi aonekane ni mdini na ametumwa na dini yako kwa maslahi ya dini hiyo hivyo wapiga kura wa dini zingine hawahusu na hawana maslahi nae.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Waislamu wapenda haki ktk nchi hii tupo pamoja na Tundu Lissu. Hayo mambo mengine ni akili yako kufikiria hivyo.
 
"Tulitamani kuwa na Kiongozi kama Dr.Magufuli,Tumempata, tunaendelea nae.
KURA YANGU KWA MAGUFULI "

#TulipotokaTunapokwenda
#MagufuliNiMafanikio
#Magufuli5Tena
#ChaguaMagufuli #ChaguaMagufuli #ChaguaMagufuli
Endelea utekwaji Tena miaka 5
 
Back
Top Bottom