Kishindo kikubwa maeneo ya Sinza/Mwenge/Kijitonyama.

Kwa kushirikiana; Kenya, Somalia na
Tanganyika ziko kwenye ugawaji ardhi kwa kujitenga na Africa, ndo sauti ikatoka, sikilizeni sauti ya mpasuko huo!
 
Habari za asubuhi, Punde tu muda wa saa 11:00 kamili umesikika mshindo mkubwa sana mithili ya Bomu maeneo hayo tajwa. Walio Karibu ni Nini?
Nadhani unataka kujua tu ni kishindo cha nini ili uongeze kufunga na komeo lingine la mlango na kutokutoka ndani kabisaa kwa siku ya leo!!
 
Hivi Bwana Jembekilo hao Wadau waliopo kwenye avatar yako, hao Jamaa ni wa wapi?
Huo utaratibu wa kupata huduma kwa namna hiyo wameupata wapi?
61928.jpg
 
Back
Top Bottom