fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,382
- 7,909
Upuuzi mtupuKama picha inavyojieleza katibu wa uenezi wa CCM taifa ataunguruma akitokea ofisi ya Lumumba
Kuna mavuno ya wapiganaji wapya na masuprise kibao kuelekea kuvunja bunge na kuanza kuchukua kura
Stay tuned
USSRView attachment 1456293
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia Mbowe amekimbiwa kila kona. Nasikia Jimboni kwake Baraza limemwacha solembaaaaaaKama picha inavyojieleza katibu wa uenezi wa CCM taifa ataunguruma akitokea ofisi ya Lumumba
Kuna mavuno ya wapiganaji wapya na masuprise kibao kuelekea kuvunja bunge na kuanza kuchukua kura
Stay tuned
USSRView attachment 1456293
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja zisizokuwa na mashiko.Ohoo karbu Chakubanga kutoka kuwa mpinga rushwa na kuwa afisa manunuzi wa chama
Sent using Jamii Forums mobile app
Maajabu toka Chadema au Nccr Mageuzi?mliberali
Hao maccm yaache yashangilie tu kwa hivi sasa...........
Lakini kama ulivyosema maajabu makubwa yatatokea baadaye mwaka huu, ambayo hakuna binadamu yeyote atakayeyaamini!
Taifa la wajinga na mang'ombeKama picha inavyojieleza katibu wa uenezi wa CCM taifa ataunguruma akitokea ofisi ya Lumumba
Kuna mavuno ya wapiganaji wapya na masuprise kibao kuelekea kuvunja bunge na kuanza kuchukua kura
Stay tuned
USSRView attachment 1456293
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana anachapa kazi kweri kweri! Mkiona habari zake tu akili zooooote zinawatoka! Sijui kama mmelala leo kwa mawazo. By the way, leo weekend, ofa yangu kwako ya K Vant ipo palepale Diamond jioni. Ahahahahahahh!Hata sura
In God we Trust
Ongeza bundle yajayo yanafurahisha🤣Ngoja nijaze bundle.
Hoja zisizokuwa na mashiko.
UNANUNUA CHANGUDOA SINZA MORI HALAFU UNAJISIFU NIMEPATA DEMU MKALI...
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kusikia kuwa Mbowe kala bilioni nane peke yake hajawapa hata mia alitegemea wabaki? lazima wamkimbieNasikia Mbowe amekimbiwa kila kona. Nasikia Jimboni kwake Baraza limemwacha solembaaaaaa
Mwanasihasa yeyote anayefurahia kuchukua wanachama kutoka chama kingine cha sihasa hafikiri sawa sawa!Kama picha inavyojieleza katibu wa uenezi wa CCM taifa ataunguruma akitokea ofisi ya Lumumba
Kuna mavuno ya wapiganaji wapya na masuprise kibao kuelekea kuvunja bunge na kuanza kuchukua kura
Stay tuned
USSRView attachment 1456293
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana anachapa kazi kweri kweri! Mkiona habari zake tu akili zooooote zinawatoka! Sijui kama mmelala leo kwa mawazo. By the way, leo weekend, ofa yangu kwako ya K Vant ipo palepale Diamond jioni. Ahahahahahahh!