Kishindo cha mashairi ya Roma Mkatoliki kwenye wimbo 'Tundu Lissu Shujaa''

Ndoto ya jana hubatilishwa na ile ya leo. Isikie kwa umakini ile sauti ya uvunguni moyoni kwakua huo ndio ukweli.

Baba akizaa na Mwanae mtoto yule ataendelea kua kaka/dada kwa watoto wengine wa yule baba au ndio watamwita mjomba?

Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua
 
Roma Mkatoliki ameshusha mzigo mpya YouTube. Moja ya mistari katika wimbo wake mpya Ni "wakati wa JK tulipinga sana ila hatukupigwa risasi wala kutekwa"....."Nani alijua Tundulisu atapona?"

Huu wimbo unakuja kipindi ambacho Chama cha Mapinduzi kimeapa kutotumia wasanii katika shughuli za siasa huku kikitumia wakata mitama mia tano jukwaani Uhuru Stadium kwa lengo la kupata wakata mitama wachache watakaotumika kwenye kampani.

Dhana ya kampeni na wakata mitama ilizinduliwa rasmi mbele ya Waziri mkuu na kijana anayedhani yeye ana uhai special na nchi hii kisa tu baba yake alimkabidhi kwa watawala wamlelee. Kijana huyu kwake dhuluma (bao la mkono) ni heshima, kwake yeye ukimpinga anaona unatakiwa kupigwa , kwake yeye ccm ni Bora kuliko Tanzania.

Niwakumbushe tu kuwa wimbo mmoja wa msanii anayezungumzia haki, democracy na usawa ni zaidi ya nyimbo miatano za watu wanaomtukuza binadamu ambaye ajakamilika na atokaa akamilike.

"Wakati wa JK tulipinga ila hatukupigwa risasi wala kutekwa."
Roma hajatoaa nyimbo yoyote kipindi hiki
Roma.jpg
 
Kwa hiyo Roma atarudi tena Bongo ?

Kweli Bongo nyoso
 
Kweli kabisa!
Lile bomu la mkono lililorushwa pale Arusha na kuua makamanda wanne mchana kweupe haikuwa wakati wa JK.
Yule kijana muuza magazeti alieuwawa na kitu chenye ncha kali haikuwa wakati wa JK.
Hata Mwangosi alivouwawa kwa kulipukiwa bomu pale Nyololo ni limagufuli tu lilisababisha.
Dah JK alikuwa peace balaa!
Makamanda TUNAMMISS kinoma!!!!!
Tufauti ya Jk na Jpm ni involvement.

Jpm kwa jinsi alivyo ni rais kum involve na matendo ya kihuni.
JK alifanya umafia halafu hakuaacha traces zozote hence ilikuwa nguvu kumhususisha na matukio yale
 
Magu anatungua na kuteka mwenyewe?
System ni ileile.
 
Kweli kabisa!
Lile bomu la mkono lililorushwa pale Arusha na kuua makamanda wanne mchana kweupe haikuwa wakati wa JK.
Yule kijana muuza magazeti alieuwawa na kitu chenye ncha kali haikuwa wakati wa JK.
Hata Mwangosi alivouwawa kwa kulipukiwa bomu pale Nyololo ni limagufuli tu lilisababisha.
Dah JK alikuwa peace balaa!
Makamanda TUNAMMISS kinoma!!!!!
CCM NI WAUAJI MUDA WOTE.....HAKUNA NJIA TUIKATAE CCM ....2020 CCM KWA HERI!
 
Back
Top Bottom