Kishindo cha mashairi ya Roma Mkatoliki kwenye wimbo 'Tundu Lissu Shujaa''

Akikamatwa mtu maarufu watu wote mtajua mtapiga kelele ataachiwa, nikikamatwa mimi hata nisiyejulikana kitongoji maisha yataendelea kama kawaida ndugu jamaa na familia ndo wataumia.
Uanaharakati kipaji.
😂😂😂😂😂 Kwakweli mpendwa
 


Roma Mkatoliki ameshusha mzigo mpya YouTube. Moja ya mistari katika wimbo wake mpya Ni "wakati wa JK tulipinga sana ila hatukupigwa risasi wala kutekwa"....."Nani alijua Tundulisu atapona?"

Huu wimbo unakuja kipindi ambacho Chama cha Mapinduzi kimeapa kutotumia wasanii katika shughuli za siasa huku kikitumia wakata mitama mia tano jukwaani Uhuru Stadium kwa lengo la kupata wakata mitama wachache watakaotumika kwenye kampani.

Dhana ya kampeni na wakata mitama ilizinduliwa rasmi mbele ya Waziri mkuu na kijana anayedhani yeye ana uhai special na nchi hii kisa tu baba yake alimkabidhi kwa watawala wamlelee. Kijana huyu kwake dhuluma (bao la mkono) ni heshima, kwake yeye ukimpinga anaona unatakiwa kupigwa , kwake yeye ccm ni Bora kuliko Tanzania.

Niwakumbushe tu kuwa wimbo mmoja wa msanii anayezungumzia haki, democracy na usawa ni zaidi ya nyimbo miatano za watu wanaomtukuza binadamu ambaye ajakamilika na atokaa akamilike.

"Wakati wa JK tulipinga ila hatukupigwa risasi wala kutekwa."

Duh hili songi lazima liondoke na mtu!
 
Back
Top Bottom