Kisheria ni sawa Ofisi ya ustawi wa jamii kusikiliza 'rufaa'?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kisheria ni sawa Ofisi ya ustawi wa jamii kusikiliza 'rufaa'??

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by tanga kwetu, Aug 6, 2012.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  mdai (baba) ameshinda mahakama ya mwanzo ya kuishi na mtoto (wa miaka 7), mdaiwa ameenda ofisi za ustawi wa jamii ('kukata rufaa') kwamba haridhiki na uamuzi huo na anataka apewe haki ya kuishi na mtoto. Hata mimi kama jirani yao niliridhika na mwenendo wa kesi ya awali yaani hoja za mdai (baba) juu ya child custody. Afisa Ustawi wa Jamii amemuita shaurini wiki ijayo mshindi wa shauri la awali. Je, kisheria hii ni sawa ofisi hii kusikiliza 'rufaa'? Mdaiwa afanyaje ili apinge hukumu ya awali? asanteni.
   
Loading...