Mashimba Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,107
- 1,364
Mama Samia Suluhu atazoea tu maana anaenda kuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 14 sasa.!
Wakati mwingine ni furaha iliyopitiliza kupata kitengoMakosa ya kibinadamu haya hasa ukiwa na simanzi na huzuni kubwa.
Awapi kwani alikuwa hajui kinachoendelea?Nawaza mama Samia alivyopata hii taarifa atakuwa alistuka sana. Akili yake itakuwa ilisimama kwa muda dah.
Hahahahahahaaa nakufa kwa kicheko mm dahSiku saba za maombolezo zilishaisha ndio zimebaki hizo.. Swali lingine!
Ni jambo la kawaida kutegeana na namna ulivyokuwa karibu na marehemu. Na wakati umeguswa kupita maelezo na huo msiba, kuna Watanzania wenzako baadhi wamekesha bar jana usiku kufurahia hilo tukio la kuhuzunisha.Huu msiba umenigusa kupita maelezo
Mkuu unipe hata U DED basi! Naona umeshaweka profile yako!!! Muda si mrefu unakula kiapo! 🥵Hahahahahahaaa nakufa kwa kicheko mm dah
🤣🤣kipaumbele cha kwanza ni kuweka wanaume weusi tu...kama ww mweusi udead umeupataaa😅😅🤭🤭🤭Mkuu unipe hata U DED basi! Naona umeshaweka profile yako!!! Muda si mrefu unakula kiapo! 🥵
Uko sahihi kabisa aliyetangaza kifo cha Rais Magufuli amemchukulia kama kwamba alikuwa Makamu wa Rais hili ni kosa kubwa sana kisheria, ni dharau iliyokithiri.Sheria ya mazishi ya viongozi inasema, endapo Rais aliyekuwa madarakani akifariki dunia, na baada ya Makamu wa Rais kupata taarifa rasmi zilizothibishwa atatakiwa kutangaza kifo kwa mujibu wa taratibu.
Sheria inamtaka Makamu wa Rais atangaze maombolezo ya siku 21 ambapo bendera itapepea nusu mlingoti kuonesha heshima kwa Rais aliyeaga dunia.
Na hili wanapaswa kulifanyia kazi mapema iwezekanavyo, Samia, atangaze kuongeza siku za maombolezo vinginevyo Watanzania watanza kuhoji uwezo wake wa ku-react inapotokea maswala ya kufanyia kazi kwa haraka kama haya.Watarekebisha tu. Human error.
Huu utamaduni wa kutokufuata sheria ameanzisha nani?Sheria ya mazishi ya viongozi inasema, endapo Rais aliyekuwa madarakani akifariki dunia, na baada ya Makamu wa Rais kupata taarifa rasmi zilizothibishwa atatakiwa kutangaza kifo kwa mujibu wa taratibu.
Sheria inamtaka Makamu wa Rais atangaze maombolezo ya siku 21 ambapo bendera itapepea nusu mlingoti kuonesha heshima kwa Rais aliyeaga dunia.
Jana nilipata habari saa 5 usiku nikaja kulala saa 9 alfajiri. Nilikuwa siamini hata kidogo mkuuHuu msiba umenigusa kupita maelezo