Kisheria, kifo cha Rais hutakiwa kuombolezwa siku 21 na sio siku 14

Katiba! niliyonayo hapa inasema vitu vingine kabisa!
8.-(1) The United Republic of Tanzania which adheres to the principles of democracy and social justice and accordingly - Hapo kuna (a) hadi (d) ambazo zinazungumza vitu tofauti kabisa.

Tukija ibara ya ya 8.- (2) The structure of the Government of the United Republic and the Revolutionary Government of Zanzibar or any of their organs and the discharge of their functions shall be so effected as to take into account the unity of the United Republic and the need to promote natioal unity and preserve national dignity.
Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa kitaifa na si Katiba?!
 
Acha ushamba ndugu mbona sheria ipo wazi sasa unashadadia sheria kuvunjwa?
Kwani kuna ubaya wao kupanga siku 14 badala ya 21 ? Au kila kitu tuna criticize tu ? Zipo sheria nyingi zinavunjwa ambazo kidogo zinagusa jamii anza nanzo hizo
 
Wabongo mna complain vitu vidogo

Kwa hiyo akisema 14 badala ya 21 uchumi ndo unashuka au? Ndo balaa la njaa linatukuta hapohapo?

Kwani lazima 21?

Imbeciles
Acha uzwazwa wewe kama katiba imesema tunaheshimu katiba sio MTU aliyekosea!! Kwanini mnasujudugi watu hata wakikosea? Huu upumbavu mnautoaga wapi? Mnakera sana nyie makunguru was manzese
 
Muache ujinga, sasa mlikua mnaandika katiba ya nini? Katiba inawekwa ili dunia iwe na utaratibu, Fikiria kama sheria za kuhukumiwa zisungekuwepo si watu wangekua wanauana tu
Kwa hyo kwenye katiba umeona hilo la umuhimu au unatafuta sababu tu ?
 
Kwani kuna ubaya wao kupanga siku 14 badala ya 21 ? Au kila kitu tuna criticize tu ? Zipo sheria nyingi zinavunjwa ambazo kidogo zinagusa jamii anza nanzo hizo
Sasa sheria zimetungwa kwanini kama mtu anaamua tu kuivunja? Tujifunze kuheshimu sheria maana zimegharimu uchumi wa nchi kwenye zoezi la kuzitunga maana watu wamelipwa kwa kazi hiyo.
 
Sasa sheria zimetungwa kwanini kama mtu anaamua tu kuivunja? Tujifunze kuheshimu sheria maana zimegharimu uchumi wa nchi kwenye zoezi la kuzitunga maana watu wamelipwa kwa kazi hiyo.
"Sasa sheria zimetungwa kwanini kama" mtu anaamua tu kuivunja?

Nikujibu tu


Sio kuvunjwa tu hata kubadilishwa zinabadilishwa au kufanyiwa maboresho

Kuna vingi vya kugharimu uchumi wa nchi sio utungwaji wa sheria pekee halafu wanaotunga sheria "lawyers,members of parliament nakadhalika bado wataendelea kulipwa tu hata kama hawatungi sheria kwa wakati husika
 
Haya Ni matokeo ya kutokuwa na watu wazoefu na wenye kujua taratibu za nchi zinavyotaka, kifo Cha Rais kimeainishwa kwenye katiba, taratibu za kumpata Rais na taratibu zote za kuishi kwake madarakani na hata mazishi ni hoja kisheria si utashi wa mtu mmojammoja, kosa lilipotokea ni kuwa na mkuu utumishi wa Umma, Katibu mkuu kiongozi asiye na uzoefu wa utumishi. Hizi paper work zote zinapaswa kufanywa Wasaidizi wakuu wa Rais ambao kiongozi wao ni Katibu Mkuu Kiongozi.

Pili, hapo Ikulu wanashindwa kutenganisha Mambo ya chama na mambo ya serikali hivyo usishangae mchakato huu wa kikatiba na kisheria ukawa na mapungufu mengi.

Tatu, kifo kinaogofya hivyo kwa mwanamke kuwa na uwezo wa kukitangaza yahitaji ujasiri, mama ana uchungu si sawa na baba

Nne, Awamu hii mambo mengi hayana uwazi hivyo hakuna strong mashauriano. Niwaombe viongozi wasikimbie pupa, wakae wasome na kuweka utaratibu kwa kuzingatia sheria na katiba, pia wakubali kuwatumia akina Butiku katika kurekebisha kasoro za kiutumishi hadi atakapopatikana katibu mkuu asiye na ukada Bali mzoeefu wa utumishi wa umma.
Yote umenena vyema.
 
Back
Top Bottom