johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,896
- 141,829
Wanafunzi zaidi ya 300 wa shule ya msingi Mwamala wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wanasomea chini ya miti.
Wazazi wa wanafunzi hao wameamua kuchanga Tsh100,000 kila mmoja ili kujenga madarasa.
Naye mkuu wa mkoa wa Shinyanga amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Kishapu kushirikiana na wazazi hao na kuhakikisha wanajenga madarasa manne haraka.
Chanzo: ITV habari
cc: Waziri Ummy Mwalimu