Kishada Kinakwenda ALIJOJO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kishada Kinakwenda ALIJOJO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kwekasy, Sep 6, 2012.

 1. k

  kwekasy New Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kishada kwenda ALIJOJO, ninamaanisha ya kwamba, unapotaka kurusha kishada lazima uwe na uzi ambao ni mgumu na hautakatika kirahisi, halafu unapokipaisha kitapaa kulingana na urefu wa kamba yako na pia upepo uwemkali kidago, ule uzi ukifika mwisho, mpaishaji hurelax na hata kukifunga kishada ktk mti ulio karibu then akaendelea na shughuli zake zingine bila kujali kishada kile kinahitaji uangalizi na umakini wa kutambua ya kwamba ile kamba inaweza kukatika wakati wowote.

  Sasa kamba imekatika na kishada kanakwenda ALIJOJO yaani bila muelekeo, kifuatacho, mwenyekishada anaanza kukikimbiza mtaa hadi mtaa bila kufahamu na kubaini ni umbali gani kitadondokea. Ni sawasawa na CCM, kimekata kamba na kinakwenda alijojo, wenye nacho wamepagawa hawajui la kufanya wakati wenzao CHADEMA wanapaisha kishada chao kwa umakini wa hali ya juu. M4C.:flypig:
   
 2. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  :wacko::wacko::wacko::wacko:arijojo
   
 3. Yohana Kilimba

  Yohana Kilimba JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2016
  Joined: Dec 25, 2012
  Messages: 8,132
  Likes Received: 5,211
  Trophy Points: 280
  Alijojo,ahahaha
   
Loading...