KISBO DAR - MWANZA: Abiria alazimishwa kukojoa kwenye chupa ili dereva awahi

Acha uongo ww, hiyo ni 94D 220, Gear 6
Wewe ndiyo hulijui hilo gari vizuri. Kumbuka hiyo ni chassis ya Lori ya gia 8 na si chassis special for bus, na hilo ni 94D 310, ubavuni linasomeka Compassion awali lilisomeka Presidential. Kisbo anayo moja ambayo ni 94D 220 imeandikwa Comfortable ambayo siyo hiyo niliyoiweka pichani. Pia anayo moja 94D 230 imeandikwa Diplomat.

Kwa kifupi Kisbo hana gari la gia 6, yote ni chassis za malori ya gia 8.
 
nmetoka dar na lucky star saa12 asubui
Nikishaingia kwenye basi nafunga mkanda nazingatia mno nikufunga dar ntaufungua mwanza au nnakoenda
Mpaka mwanza saa7 :30 usiku sijashuka hata sehemu moja na mkojo haunibani
Nmefanya kufungua mkanda nikalala saa 12 niko kwenye basi naenda musoma sijakojoa mpaka nafika nnakokwenda saa5 nikashinda kutwa nikaja kupee saa 12 jioni
Yani mm hata mizunguko yangu ya hapa na pale mpaka nirudi home ndo najiskia kama najikojolea ila nikiwa na mambo mengine walaa hata ikiwa safari ya 48hrs

Napenda basi inayotembea slow hata tukisafiri siku5 sawa tu
Njoo nikukague
 
Hapo labda uwe na usafiri wako,Wenzio izo siku tano basi linakuwa limeenda tripu kama 3 ivi
 
mabasi ya kanda ya ziwa ukitoa Dar lux na jm luxury ,hayo mengine yote ni upumbavu mtupu.
Binafsi nilshapanda hiyo kisbo ya Mwanza -Dar Ni upuuzi mtupu sijui wanachoisifia Ni kits gani maana gari inalimit speed Ila inaendeshwa Kama gari ya wahuni , watu wakiomba kuchimba daw hawataki , dereva mwenyewe sasa Kama kaugua ebolla alivyo mwembamba halafu mbishi balaa
 
Kwa jana nilikuwa miongoni mwa abilia tulio safiri na gari aina ya Kisbo, hii kwa mara ya kwanza hii gar ilikuwa na kakondakita kana majibu ya ajabu,kuna dreva kijana mwembamba yeye alitupokea pale Dodoma kwanza anaendesha gar ovyo ovyo mno,ukilinganisha na yule Bonge.

Cha kuskitisha jana tulianza safar vizr,yule dreva Bonge alitoa dakika tatu za kuchimba sawa polini,kabla hata ya singida baada ya hapo hatukupewa muda wwte kutoka singida mpka tunaitafta morogoro.

Ghafla watu wakaanza kulalamika kubanaa na haja ndgo, ilikuwa ukiomba nafasi gar ismame unashambuliwa balaa.ghafla baba mmoja alitoka mbele kuja kwa dreva kumuomba asimamishe gar ili ajisaidie huyo dreva akamwambia chukua chupa mzee ukojoe tutoboe sisi.

Kweli mzee wa watu akachukua chupa na kukojoa humo paspo kujua madhara makubwa yatokanayo kukojoa kwenye chupa.
Tuanza kwanza na madhara ya kukojoa kwenye chupa
 
Mamlaka husika chungezeni haya magari ya kisbo na kibo mapema lisemwalo lipo kama halipo laja
 
Binafsi nilshapanda hiyo kisbo ya Mwanza -Dar Ni upuuzi mtupu sijui wanachoisifia Ni kits gani maana gari inalimit speed Ila inaendeshwa Kama gari ya wahuni , watu wakiomba kuchimba daw hawataki , dereva mwenyewe sasa Kama kaugua ebolla alivyo mwembamba halafu mbishi balaa
Ht interval ya seat kwa seat ni ndogo mno kiasi kwamba unakaa goti linauma tu. Ht huwezi kukaa kwa kujitanua.
 
Kisbo ndege ya ardhini..hilo wanapanda watu wa business class wew ulifuata nini humo na kibofu chako kibovu?
Hawa ndiyo watanzania, yaani openly anaona utaratibu inavunjwa anatetea, ujinga mtupu... Halafu shida ingine ni abiria 60 kushindwa kudhibiti watu 2, kila baada ya muda trafiki anasimamisha na kuuliza kuna shida? Sasa hapa mtakuwa mmejibu hakuna.... Pia ndani ya Bus kuna namba za kupiga kuripoti malalamiko...
 
Ila mkipiga mzinga na kufa wote mnasumbua taifa, kutuma rambirambi, majeneza etc
Siku nyingine muwe mnapeleleza magari kwanza kabla ya kusafiri, hasa nyie wasafiri wa msimu hadi msimu.

Hayo magari yana abiria wake hasa wafanyabishara, na hiyo ni kawaida kwa magari yote ya kwenda mikoani.

Binafsi ni mfuasi wa basi kama hizo zinazojali muda, hakuna kitu sipendi kama kusikia eti ya basi letu kuna basi kadhaa zimetupita.

Na siku zote basi ya mbele hata abiria hamchoki.....huku kwetu tunaita Chombo ya mbele.!
 
Kwa jana nilikuwa miongoni mwa abilia tulio safiri na gari aina ya Kisbo, hii kwa mara ya kwanza hii gar ilikuwa na kakondakita kana majibu ya ajabu,kuna dreva kijana mwembamba yeye alitupokea pale Dodoma kwanza anaendesha gar ovyo ovyo mno,ukilinganisha na yule Bonge.

Cha kuskitisha jana tulianza safar vizr,yule dreva Bonge alitoa dakika tatu za kuchimba sawa polini,kabla hata ya singida baada ya hapo hatukupewa muda wwte kutoka singida mpka tunaitafta morogoro.

Ghafla watu wakaanza kulalamika kubanaa na haja ndgo, ilikuwa ukiomba nafasi gar ismame unashambuliwa balaa.ghafla baba mmoja alitoka mbele kuja kwa dreva kumuomba asimamishe gar ili ajisaidie huyo dreva akamwambia chukua chupa mzee ukojoe tutoboe sisi.

Kweli mzee wa watu akachukua chupa na kukojoa humo paspo kujua madhara makubwa yatokanayo kukojoa kwenye chupa.
Mabasi huwa yanafika mahali mabiria wanakula hebu eleza mlipata chakula Singida au Manyoni?
 
Umewahi kumuona mgonjwa wa kisukari? Rate ya kukojoa ni kubwa tofauti na asiye mgonjwa dereva yampasa kusimamisha basi pale anapoombwa huwezi jua mtu anatatizo gani
 
1: kukojoa kwenye chupa kuna madhara?
2: mwanaume MNA Raha kwahiyo alitoa dushe kichwa naweka kwenye mdomo wa chupa ya Maji? nipo nazoom how it was
3: angekuwa mwanamke ingekuwaje? Sisi kulenga pale kwenye chupa ni taabu sana
 
Back
Top Bottom