Pozzers JF-Expert Member Sep 14, 2013 337 560 Apr 11, 2016 #1 Yaani alipomsindikiza Lowassa kutoa sadaka ya Pasaka tu ,Zengwe la Watumishi Hewa ameundiwa.Kweli utawala wa Visasi. Angekua anachukia uongo kiasi hicho angewapa deadline wale Mawaziri ambao hawakujaza fomu za sekretarieti ya maadili
Yaani alipomsindikiza Lowassa kutoa sadaka ya Pasaka tu ,Zengwe la Watumishi Hewa ameundiwa.Kweli utawala wa Visasi. Angekua anachukia uongo kiasi hicho angewapa deadline wale Mawaziri ambao hawakujaza fomu za sekretarieti ya maadili