Kisasi cha Iran kinakuja, Israel wajiandae kisaikolojia

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,890
Kiongozi Muadhamu: Watieni adabu waliofanya na kuamrisha jinai ya kuuliwa kigaidi shahid Fakhrizadeh

Nov 28, 2020 09:42 UTC

[https://media]

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametilia mkazo wajibu wa kutiwa adabu na kupewa adhabu isiyoepukika wote waliofanya na kuamrisha mauaji ya kigaidi ya mwanasayansi wa Kiirani, Dk. Mohsen Fakhrizadeh.

Mapema leo asubuhi, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe wa pongezi na tanzia kufuatia kuuawa shahidi na kumpoteza mwanasayansi bingwa aliyebobea katika masuala ya nyuklia na ulinzi wa Iran, Dk Mohsen Fakhrizadeh na amesisitiza kutolewa adhabu isiyoepukika kwa waliofanya na walioamrisha jinai hiyo na wajibu wa kuendelezwa jitihada za kielimu na kiufundi za shahid Fakhrizadeh.

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika ujumbe wake huo kwamba: Mwanasayansi huyu bingwa wa nyuklia na masuala ya ulinzi ambaye ameuliwa shahidi na mamluki watenda jinai na wenye nyoyo ngumu, ametoa roho yake azizi na yenye thamani kubwa katika njia ya Allah kupitia jitihada zake kubwa za kielimu na za kubakia milele na hivyo amefanikiwa kupata daraja ya juu ya kuuawa shahidi ikiwa ni zawadi kutoka kwa Mola wake.

Mohsen Fakhrizadeh, Mkuu wa Shirika la Utafiti na Ubunifu la Wizara ya Ulinzi ya Iran aliuawa shahidi jana jioni katika shambulio la kigaidi lililofanywa katika viunga vya jiji la Tehran.

My take:Kitu wanajeshi wa US walifanywa kwenye zile bases za Iraq sasa kwa israel nadhani wajiandae kwa kulengwa kwa watu wao muhimu sana.Wazee wa visasi washaanza kazi waajemi kwa visasi wanajulikana vizuri tu

4bvf7dd58654a71rvv9_800C450.jpeg
 
Marekani ilitandikwa kama mtoto mdogo huko iraq bado hawa wayahudi uchwara naskia hezbullah imeiyomba iran iwape ruhusa ya kumchapa myahudi ha ha
 
Hawa jamaa wa Iran hawako serious. Mashambulio kama haya yamewahi kutokea huko nyuma na kuua wanasayansi wengine. Sasa huyu kwa nini hawakumpa ulinzi wa kutosha? Hawawezi hata kununua gari bullet proof kwa watu muhimu kama hawa? Nimeona kigari chake alichokuwa natumia, bora mkweche wangu hapa Tandale.
 
Muiran hana jeuri ya kuigusa Israel tena kwa tukio ambalo hawana ushahidi wa wahusika. Kwenye ule uzi wako mwingine umeeleza kuna "magaidi " yaliyouliwa eneo la tukio ambao ni Wairan. Israel anaingiaje hapo au kwa kutegemea post za twitter?
 
Kiongozi Muadhamu: Watieni adabu waliofanya na kuamrisha jinai ya kuuliwa kigaidi shahid Fakhrizadeh

Nov 28, 2020 09:42 UTC

[https://media]

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametilia mkazo wajibu wa kutiwa adabu na kupewa adhabu isiyoepukika wote waliofanya na kuamrisha mauaji ya kigaidi ya mwanasayansi wa Kiirani, Dk. Mohsen Fakhrizadeh.

Mapema leo asubuhi, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe wa pongezi na tanzia kufuatia kuuawa shahidi na kumpoteza mwanasayansi bingwa aliyebobea katika masuala ya nyuklia na ulinzi wa Iran, Dk Mohsen Fakhrizadeh na amesisitiza kutolewa adhabu isiyoepukika kwa waliofanya na walioamrisha jinai hiyo na wajibu wa kuendelezwa jitihada za kielimu na kiufundi za shahid Fakhrizadeh.

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika ujumbe wake huo kwamba: Mwanasayansi huyu bingwa wa nyuklia na masuala ya ulinzi ambaye ameuliwa shahidi na mamluki watenda jinai na wenye nyoyo ngumu, ametoa roho yake azizi na yenye thamani kubwa katika njia ya Allah kupitia jitihada zake kubwa za kielimu na za kubakia milele na hivyo amefanikiwa kupata daraja ya juu ya kuuawa shahidi ikiwa ni zawadi kutoka kwa Mola wake.

Mohsen Fakhrizadeh, Mkuu wa Shirika la Utafiti na Ubunifu la Wizara ya Ulinzi ya Iran aliuawa shahidi jana jioni katika shambulio la kigaidi lililofanywa katika viunga vya jiji la Tehran.

My take:Kitu wanajeshi wa US walifanywa kwenye zile bases za Iraq sasa kwa israel nadhani wajiandae kwa kulengwa kwa watu wao muhimu sana.Wazee wa visasi washaanza kazi waajemi kwa visasi wanajulikana vizuri tu

View attachment 1637597

Israel imezidi ufedhuli na ujeuri husio kuwa na kichwa wala miguu, hawawezi kuvumiliwa kwa kuendesha operation za kigaidi kwa nchi za watu bila sababu za msingi - mfano: kwa nini wana waua wanasayansi wa Iran wenye taaluma za fizikia ya nuklia, roketi science na medical instrumentation - mbona Israel ina raia wenye ujuzi kama huo nchini mwao lakini hakuna anaye wafuata na kuwaua with impunity.

Israel INA vinu vya Nukkia vinavyo zalisha weapon grade plutonium za kuunda mabom ya nuklia. Vinu vyenyewe vimejengwa huko Domina kwenye jangwa LA Negev - Israel ilianzisha kuzalisha mabom ya Nuklia tangu miaka ya sitini. Rais Kennedy alipo anza kuweka shinikizo kwamba Israel nayo ikaguliwe kinacho fanyika ndani ya kinu cha Domina, Israel ilikasirishwa na msimamo wa Kennedy, within a year or two baada ya tamko lake Kennedy aliuwawa kikatiri kabla agizo lake halija tekelezwa, kuna wanao husisha kifo cha JFK na masuala ya msimamo wake dhidi ya Israel kutaka kuanzisha kuunda mabom ya nuklia.

Cha ajabu mpaka sasa atakuta mara zote Israel inashirikiana na Merikani ili vinu vya Israel vya nuklia visikaguliwe na taasisi ya umoja wa mataifa unayo ratibu matumizi bora ya products za kinuklia Duniani, badala yake Israel na USA wana taka Dunia iwekee shinikizo Iran ili vinu vyake vikaguliwe, viwekewe masharti magumu na ikiwezekana vifungwe kabisa - akili gani hizi?

Nimalizie kwa kusema Iran inaposema atalipiza kisasi baada mtaalamu wao kuuwawa, binafsi nina uhakika Iran haitanii - Israel hisifikiri Iran haina uwezo wa kukabiliana vilivyo na Israel na kuishinda , labda Israel itumie mabom ya thermonuclear dhidi ya Iran au Israel ikisaidiwa na USA vinginevyo Israel itanyukwa na Iran mpaka ishike adabu - wata adabishwa na kupata kipigo kuliko cha mwaka 2007 walipo jaribu kuvamia Lebanon wakajikuta majeshi ya Israel yakirudishwa nyuma na wana mgambo wa Hezibolla - kama a rag tag Hezibolla iliweza kudhibi jeshi la Israel lenye ndege za kivita,vifaru, artillery, gunboats, submarines LEO hii ndio Israel ijifanye inaweza kupigana vita na jeshi kubwa LA Iran lenye uwezo katika kila fani.

Israel ijifunze kutokana na mfano wa juzi juzi hapa Iran walipo timiza ahadi yao ya kulipiza kisasa baada ya Merikani kumuua Jenerali wa Iran, Waajemi walitimiza ahadi zao kwa kushambulia makambi ya kijeshi ya Amerika nchini Iraq, mpaka sasa USA haijajibu mapigo ya makambi yao ya kijeshi kushambilwa vile vile na Drone yao ya kisasa kabisa kutunguliwa na Air defense systems za Iran - unajua kwa nini USA hajajibu mapigo mpaka sasa? USA knows kwamba Jeshi la Iran si la kubezwa bezwa hata kidogo.
 
Hawa jamaa wa Iran hawako serious. Mashambulio kama haya yamewahi kutokea huko nyuma na kuua wanasayansi wengine. Sasa huyu kwa nini hawakumpa ulinzi wa kutosha? Hawawezi hata kununua gari bullet proof kwa watu muhimu kama hawa? Nimeona kigari chake alichokuwa natumia, bora mkweche wangu hapa Tandale.
Gari aliyokuwemo ni bullet proof ndio maana wakatumia bomu
 
Mikwala to hiyo ni sawa na mende kutingisha kabati ....Kama anaweza arushe hata kisoda tel Aviv kutokea Tehran aone kifuatacho....shwain
Kiongozi Muadhamu: Watieni adabu waliofanya na kuamrisha jinai ya kuuliwa kigaidi shahid Fakhrizadeh

Nov 28, 2020 09:42 UTC

[https://media]

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametilia mkazo wajibu wa kutiwa adabu na kupewa adhabu isiyoepukika wote waliofanya na kuamrisha mauaji ya kigaidi ya mwanasayansi wa Kiirani, Dk. Mohsen Fakhrizadeh.

Mapema leo asubuhi, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe wa pongezi na tanzia kufuatia kuuawa shahidi na kumpoteza mwanasayansi bingwa aliyebobea katika masuala ya nyuklia na ulinzi wa Iran, Dk Mohsen Fakhrizadeh na amesisitiza kutolewa adhabu isiyoepukika kwa waliofanya na walioamrisha jinai hiyo na wajibu wa kuendelezwa jitihada za kielimu na kiufundi za shahid Fakhrizadeh.

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika ujumbe wake huo kwamba: Mwanasayansi huyu bingwa wa nyuklia na masuala ya ulinzi ambaye ameuliwa shahidi na mamluki watenda jinai na wenye nyoyo ngumu, ametoa roho yake azizi na yenye thamani kubwa katika njia ya Allah kupitia jitihada zake kubwa za kielimu na za kubakia milele na hivyo amefanikiwa kupata daraja ya juu ya kuuawa shahidi ikiwa ni zawadi kutoka kwa Mola wake.

Mohsen Fakhrizadeh, Mkuu wa Shirika la Utafiti na Ubunifu la Wizara ya Ulinzi ya Iran aliuawa shahidi jana jioni katika shambulio la kigaidi lililofanywa katika viunga vya jiji la Tehran.

My take:Kitu wanajeshi wa US walifanywa kwenye zile bases za Iraq sasa kwa israel nadhani wajiandae kwa kulengwa kwa watu wao muhimu sana.Wazee wa visasi washaanza kazi waajemi kwa visasi wanajulikana vizuri tu

View attachment 1637597
 
Israel imezidi ufedhuli na ujeuri husio kuwa na kichwa wala miguu, hawawezi kuvumiliwa kwa kuendesha operation za kigaidi kwa nchi za watu bila sababu za msingi - mfano: kwa nini wana waua wanasayansi wa Iran wenye taaluma za fizikia ya nuklia, roketi science na medical instrumentation - mbona Israel ina raia wenye ujuzi kama huo nchini mwao lakini hakuna anaye wafuata na kuwaua with impunity.

Israel INA vinu vya Nukkia vinavyo zalisha weapon grade plutonium za kuunda mabom ya nuklia. Vinu vyenyewe vimejengwa huko Domina kwenye jangwa LA Negev - Israel ilianzisha kuzalisha mabom ya Nuklia tangu miaka ya sitini. Rais Kennedy alipo anza kuweka shinikizo kwamba Israel nayo ikaguliwe kinacho fanyika ndani ya kinu cha Domina, Israel ilikasirishwa na msimamo wa Kennedy, within a year or two baada ya tamko lake Kennedy aliuwawa kikatiri kabla agizo lake halija tekelezwa, kuna wanao husisha kifo cha JFK na masuala ya msimamo wake dhidi ya Israel kutaka kuanzisha kuunda mabom ya nuklia.

Cha ajabu mpaka sasa atakuta mara zote Israel inashirikiana na Merikani ili vinu vya Israel vya nuklia visikaguliwe na taasisi ya umoja wa mataifa unayo ratibu matumizi bora ya products za kinuklia Duniani, badala yake Israel na USA wana taka Dunia iwekee shinikizo Iran ili vinu vyake vikaguliwe, viwekewe masharti magumu na ikiwezekana vifungwe kabisa - akili gani hizi?

Nimalizie kwa kusema Iran inaposema atalipiza kisasi baada mtaalamu wao kuuwawa, binafsi nina uhakika Iran haitanii - Israel hisifikiri Iran haina uwezo wa kukabiliana vilivyo na Israel na kuishinda , labda Israel itumie mabom ya thermonuclear dhidi ya Iran au Israel ikisaidiwa na USA vinginevyo Israel itanyukwa na Iran mpaka ishike adabu - wata adabishwa na kupata kipigo kuliko cha mwaka 2007 walipo jaribu kuvamia Lebanon wakajikuta majeshi ya Israel yakirudishwa nyuma na wana mgambo wa Hezibolla - kama a rag tag Hezibolla iliweza kudhibi jeshi la Israel lenye ndege za kivita,vifaru, artillery, gunboats, submarines LEO hii ndio Israel ijifanye inaweza kupigana vita na jeshi kubwa LA Iran lenye uwezo katika kila fani.

Israel ijifunze kutokana na mfano wa juzi juzi hapa Iran walipo timiza ahadi yao ya kulipiza kisasa baada ya Merikani kumuua Jenerali wa Iran, Waajemi walitimiza ahadi zao kwa kushambulia makambi ya kijeshi ya Amerika nchini Iraq, mpaka sasa USA haijajibu mapigo ya makambi yao ya kijeshi kushambilwa vile vile na Drone yao ya kisasa kabisa kutunguliwa na Air defense systems za Iran - unajua kwa nini USA hajajibu mapigo mpaka sasa? USA knows kwamba Jeshi la Iran si la kubezwa bezwa hata kidogo.
Unaota ?
 
Back
Top Bottom