Kisarawe 2015
New Member
- Sep 21, 2011
- 3
- 3
Ki historia, ni wilaya ya kwanza kuanzishwa Tanzania na mkoloni
Lakini kimaendeleo ni maskini kuliko zote Tanzania na hata wilaya ya Mafia ina afadhali
Pia msisahau kuwa ni wilaya ambayo jimbo lake limekuwa likiwasilishwa na CCM tokea uhuru...na moja kati ya waliowahi kuwa wabunge wa Kisarawe ni pamoja na Marehem Kigoma Malima (ambaye mwanae Adam ndiye mbunge wa Mkuranga), Athumnani Janguo (aliyewahi kuwa mkurugenzi wa Bandari ) na sasa hivi jimbo hili limeshikiliwa na jamaa anayeitwa SULEIMAN JAFO ambaye ame spend si chini ya milioni 400 ili jina lake lipitishwe kwenye Chama na baadae kushinda kirahisi kwenye ubunge. Sasa hizo pesa zenyewe kumbe alikuwa kaziiba kule alikokuwa anafanya kazi kwenye NGO ya PLAN INTERNATIONAL sasa hivi amekubaliana nao kuwa atazirejesha kidogo kidogo.
Tangua ateuliwe kuwa mbunge hakuna lolote alilolifanya la maana. na tunaweza kusema kuwa kazi kubwa inafanya na NGO ambazo zinachimba visima vya maji na kutoa huduma za afya. Sasa CCM hatujui mmetuletea mbunge dizaini gani kwani hana uadilifu. Kama aliweza kuwaibia hao Plan International ndio atashindwa kutuibia sisi wananchi wa kawaida?
Lakini kama mbunge hajafanya lolote zaidi ya kula posho za milioni 15 kila mwezi kama mbunge huku jimbo lake likiongoza kwa watu walio wasio jua kusoma au kuandika.
So far alichokifanya ni kutoa ardhi yenye hecta 200,000 kwa shirika la kidini ambalo limesema kuwa ile ardhi ni kwa ajili ya investment ya kujenga nyumba za ibada
Jamani hicho ndio kilio chetu wana Kisarawe. Na tunaomba msaada wenu wa kimawazo namna ya kufanya ili hali zetu ziwe walau na afadhali.