KISANDU-Tumejipanga kwa hali na mali kuchukua dolla 2015.

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
Katibu wa habari na uenezi wa kitengo cha vijana NCCR-MAGEUZI anadai chama chao wamejiandaa vilivyo kuchukua dola 2015 tena kwa kishindo kikubwa. Kisandu ambaye pia anagombea nafasi ya mwenyekiti wa vijana taifa ameyasema hayo leo akiwa na rafiki zake hapa ubungo. hata hivyo ameweka mkazo kuwa chama chao ndio chaguo sahihi la watz,
SOURCE: hapa Ubungo
 
rudia tena
 
Ndiomana watu wanadharau siasa, sasa hata nikikumwagia tindikali utanilahum kwel? Maana umezid porojo
 
Katibu wa habari na uenezi wa kitengo cha vijana NCCR-MAGEUZI anadai chama chao wamejiandaa vilivyo kuchukua dola 2015 tena kwa kishindo kikubwa. Kisandu ambaye pia anagombea nafasi ya mwenyekiti wa vijana taifa ameyasema hayo leo akiwa na rafiki zake hapa ubungo. hata hivyo ameweka mkazo kuwa chama chao ndio chaguo sahihi la watz,
SOURCE: hapa Ubungo
Golden chance never come twice. muliipata hiyo nafasi mwaka 1995 mkambwela kama ambavyo cdm waliipata nafasi mwaka 2010 na wenyewe wanajimbwelesha tu watu wa mtaani wanasema kama mbwai na iwe mbwai tu tz hamna wapinzani. Mimi mbona nilikuwepo hapo ubungo izo habari sijazisikia?
 
Kaka nilikuwa napita tu hapa jf.naelekea hukooooo,ila kujipa moyo muhimu,jaribuni huenda watanzania wataionea huruma nccr.ila chadema bado ipo jui
 
Mhhhh nafasi ilikuwa miaka hiyooo ya 1990 kisandu usitudanganye bhana,usjahidi mzuri siku ya mkutano wa vyama vya chadema,nccr na cuf pale jangwani,pale ndio kidogo kungekuwa na mfano wa kuchukua nchi,me niliona. Makamanda kibao na kombat zao tu,sijaona nccr kabisa,mtachukuaje nchi bila watu
 
Back
Top Bottom