Kisandu: hawa ndio wamenifundisha kuvumilia magumu.

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
Walionilea nilipokuwa Shirika la Kifransiskani la Ndugu Wadogo wa Afrika-Morogoro, hasa kule Nyumba ndogo ya Kiroka (July 1998-April 1999) ni Ndugu Fidelis (wa kwanza kushoto), Ndugu Daudi (wa kwanza kutoka kulia mstari wapili nyuma), wengine ambao hawapo pichani ni Ndugu Bosco na Ndugu Arufeo na Ndugu Ricardo Maria,

Nawashukru wote kwa kunijenga na kunifanya kuwa imara kabla sijaondoka.

Deogratius Nalimi Kisandu.

"NITASHINDA TU, PAMOJA NA VIKWAZO"
 

Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    33.4 KB · Views: 97
Kwa malezi hayo halafu ukataka wale jamaa wakulipe namna ile napata shaka kidogo na makuzi yako . Samahani lakini
 
Back
Top Bottom