Kisandu aksante sana

kigoma mjini

Member
Dec 1, 2013
95
9
Nilikuwa nafuatilia mjadala star tv leo baada ya magazeti, Kisandu kanigusa kwenye kura ya maoni.

Kama wingi wa kura ukiwa Hapana tusirudi kwenye katiba iliyopo bali tuboreshe katiba mpya ili tuingie kwenye uchaguzi na katiba mpya.
 
nalikuwa nafatilia mjadala stattb leo baada ya magazeti, kisandu kanigusa kwenye kura ya maoni
kama wingi wa kura ukiwa Hapana tusirudi kwenye katiba iliyopo bali tuboreshe katiba mpya ili tuingie kwenye uchaguzi na katiba mpya.

Hizi si ndo moja ya ID za Kisandu? Unajipongeza mwenyewe?
 
Back
Top Bottom