kigoma mjini
Member
- Dec 1, 2013
- 95
- 9
Nilikuwa nafuatilia mjadala star tv leo baada ya magazeti, Kisandu kanigusa kwenye kura ya maoni.
Kama wingi wa kura ukiwa Hapana tusirudi kwenye katiba iliyopo bali tuboreshe katiba mpya ili tuingie kwenye uchaguzi na katiba mpya.