Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,781
ndio umeliwa hivyoHahaha Vladimir una wazimu wewe,.utakula kisamvu tuu mimi kunikula ni ndoto mfyuu
kuliwa huanzia kwenye mawazo, hivyo ushaliwa hivyoHahaha Vladimir una wazimu wewe,.utakula kisamvu tuu mimi kunikula ni ndoto mfyuu
Probably ulikuwa sahihi.Mnya mnya mnya but niwie radhi mno... Heading ilinichanganya kidogo nikadhani ni kisamvu kile cha kopo... Kisamvu cha pilau
Jr
Sawa,.lakini haijapita...
Cha kopo kipoje eti,unaweza kuweka picha yake hapa??
Mamboo wapenzi wa mahanjam,mambo matam matam ya jikoni,mambo ya chakula kizuuuri chenye ladha isiyo chosha.....Asalam Alaykhum,.
Leo nataka tujifunze mboga hii jinsi ya kuitengeneza na kuipika,.kisamvu ni moja ya mboga za majani na ni maarufu sana kwa nchi zetu za Africa na hata baadhi ya nchi za ulaya hutumia pia kama mboga ya majani,.YES kisamvu kina utam wake waliowahi kula mboga hii wanaelewa hasa kikiwa kimepikika kwelikweli kikapikika,.aisee ni kitam sanaaa😋😋
Basi tupike mboga yetu hii ya kisamvu; kwanza utachuma kisamvu chako kitekekiteke (mimi nimekipanda kwangu)utakichambua kwa kutenganisha jani la kisamvu na kikonyo,utaweka kwenye kinu chako kisafi, kisha utamenya kitunguu saumu na utakiweka kwenye kinu pamoja na kisamvu (wengine huweka na tangawizi)japo si lazima sana,.ukitwangia kitunguu saumu kinafanya kisamvu chako kinukie vizuri.
Twanga kisamvu na kitunguu saumu mpaka kilainike sana,tumia kinu kikubwa na kipana kwa sababu kisamvu kikianza kulainika huruka-ruka na kumwagika....kikisha lainika kitoe kwenye kinu kiweke kwenye sufuria pana,weka maji kwenye kinu kisuuze vizuri hayo maji yaweke kwenye sufuria lenye kisamvu chako tayari kwa kuweka jikoni kichemke,.wakati huu unaweza kuchanganya na kunde mbichi vikachemka pamoja,..
Kisamvu chako kikishaiva pamoja na kunde (kama utatumia,sio lazima sana kuweka kunde japo huvutia zaidi)epua hakikisha kimeiva na hakina majimaji mengi(kiwe kimekauka kidogo)weka sufuria nyingine kavu jikoni,ikipata moto weka mafuta ya kupikia kiasi na wakati huu unakuwa umekuna nazi yako iliyokomaa vizuri na kuichuja matui mawili jepesi na zito (tui bubu)au utatumia tui la karanga..
Mafuta yakipata moto weka kitunguu maji kikaange mpaka kiwe cha rangi ya brown,weka kisamvu chako kikaange pamoja na kitunguu mpaka viingiliane,halafu weka tui lako jepesi acha vichemke kwa dk 5-6 ukiwa umefunika,baada ya hapo punguza moto kidogo halafu weka karoti iliyokatwa katwa vipande vya wastani pamoja na chumvi na pilipili mbuzi kama utapenda,geuza kwa pamoja halafu weka tui zito na uache kichemke taratibu kwa dk 4-5...
Epua kisamvu chako na kitakuwa tayari kwa kuliwa,mboga hii unaweza kula kwa ugali,wali,ndizi,makande na hata chapati ukipenda,.
Mpaka wakati mwingine babaaii😉😉na weekend njema!!!

Kweli,...wamama wamepumzika kuumia makwapa kwa kutwanga,.One of the best. Asante sana.
Siku hizi kisamvu kinauzwa supermarket inarahisisha sehemu ya maandalizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda uje Private Message.. au nikuelekeze kwa mifano?Cha kopo kipoje eti,unaweza kuweka picha yake hapa??
Wakurya mna hasira hadi na vyakula..lol,....ungepita tuu kimyakimyaWacha kututukana asubuhi yote hii, MAMBOO yanasalimiwa kweli? Mavi ya mwanamme gani wa Dar haya yamepakuliwa mpaka yakatoka na nyanya karibu nzima nzima?
Hata kwa mfano si mbaya,.ntajitahidi kuelewa
Hii hapa dada View attachment 992241
Nashukuru sana labda mlengwa ataiona. Vipi Weekend Mrangi yupo au? Ulabu huku haupandi bila company. Mwenzio ndo yupo kwenye Me....... alishaacha.
Jr
Uono ndo nini maana hapo nimwekwa kwenye jiwe?Napenda ugali dona, mlenda kisamvu na uono pembeni. Sio uono wakulumangia, la khasha! Uono kabla ya tonge uono baada ya tonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Na yeye utamla kama kisamvu au?Asante kwa elimu..... Wewe na kisamvu chako..vyote ni Mboga...
Nmewapeenda niwakule
Ukiwaa kitandani au kwenye mkeka.. Kaa kama mbuzi/mbwa.. Tumia viganja na magoti kugusana na godoro/mkeka wako.Hata kwa mfano si mbaya,.ntajitahidi kuelewa
Tobaaaaa,..Ukiwaa kitandani au kwenye mkeka.. Kaa kama mbuzi/mbwa.. Tumia viganja na magoti kugusana na godoro/mkeka wako.
Tundu ambalo liko juu zaidi (kwa nyuma/mgongoni.. Chini ya kiuno) hilo ndilo kopo lenye kisamvu.
"Cha kopo" kitamu bwanaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app