Kisa cha Waziri Ngeleja na Mlinzi kwenye ATM

Waziri Ngereja nikati ya mawaziri wachapa kazi hili halina shaka, naona keshapata "stress" hizi ni moja ya work related deseases mie nashauri apewe "subarticle leave".
 
Oooh sasa tunaheshimiana thanks MAGU hakuna tena unanijua mimi ni nani hapa kazi tu leta dharau uone chamtemakuni
 
Asante Rais wa wanyonge huyu jamaa alivuta mpunga wa Escrow toka kwa Ruge mwenyewe akautema
 
Back
Top Bottom