Kisa cha tajiri wa mabasi Mwarabu "Zafanana"

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Huyu bwana nadhani wengi mmekuwa mkimsikia hasa sisi kizazi cha siku za nyuma ukiachana na hiki cha dot.com au instagram.

Ni tajiri mmoja mfanyabiashara wa kiarabu ambaye anatokea Jiji la Tanga. Bwana huyu alikuwa hapo mwanzo ameoa mwanamke wa asili yake.yaani mwarabu.

Katika pita pita zake siku moja alifanikiwa kumwona mwanamke mmoja wa kitanga mashallah...ana bundle la kutosha (makalio) macho na sura ya kupendeza.

Mwarabu wa Tanga baada ya kumwimbisha yule mwanamke akafanikiwa kunaniiiiiii....basi kwa kunogewa na mapenzi ya Bint Tanga akaamua avute kabisa mzigo awe anajilia mwenyewe kwa raha zake.

Shida ikaanza hapo toka kwa ndugu zake. Kuwa inakuaje anaona mwanamke mweusi.yaani ambaye si mwarabu?jamaa alijaribu sana kuwaelezea hawakumwelewa.

Mwishowe ndo akawaambia PUPUCHI YA MWARABU NA HUYO MTANZANIA. ZAFANANA.

Akaamua kuandika katika Mabasi yake kuyaita papuchi ZAFANANA. Utamu ni ule ule iwe mwarabu au mbantu.

Nikakumbuka jamaa yangu mmoja yeye alikuja na kauli mbiu yake ZOTE TAMU
 
Hiki kisa kimenikumbusha Mwarabu mmoja aliyekuwa na duka la vitambaa vya nguo. Tulimzoea kwakua aliuza vitambaa vya tetron maarufu kwa mashati ya shule. Huyu mzee mke wake alikua shombe la ki bantu na Kiarabu. Walifanikiwa kupata watoto na waliolewa Arabuni.

Mama aliitwa Arabuni kusaidia uzazi wa mabinti zake. Alimuacha mzee na house girl wa kibantu. Mama aliporudi anakuta mzee amevuta ndani house girl. Alipoulizwa alijibu mbona mke wangu pia ni nusu mbantu lakini hamkuleta zengwe acheni ubaguzi.
 
Hiki kisa kimenikumbusha Mwarabu mmoja aliyekuwa na duka la vitambaa vya nguo. Tulimzoea kwakua aliuza vitambaa vya tetron maarufu kwa mashati ya shule. Huyu mzee mke wake alikua shombe la ki bantu na Kiarabi. Walifanikiwa kupata watoto na waliolewa Arabuni.

Mama aliitwa Arabuni kusaidia uzazi wa mabinti zake. Alimuacha mzee na house girl wa kibantu. Mama aliporudi anakuta mzee amevuta ndani house girl. Alipoulizwa alijibu mbona mke wangu pia ni nusu mbantu lakini hamkuleta zengwe acheni ubaguzi.
Sky unajua unaweza kuandika kitabu cha stories fupi fupi kikawa kumbukumbu nzuri sana kwa vizazi vijavyo.
 
Umenikumbusha basi la kwetu.. kwenye pepe lake nyuma limeandikwa "kwima agema.. kuna luzizi lugogile" isuzu tx 92's uzaramoni moja!
 
Back
Top Bottom