Kisa cha Polisi mkoa wa Geita kinasikitisha

No siwavunji moyo, bali mimi ndio nawasaidia kwa kuwaeleza ukweli bayana uliopo.
Nyinyi na ndoto zenu za mchana kuamini mtu wenu atashinda, hivyo mmekuwa na kitu kinachoitwa "too great expectations" hivyo akishindwa mtapata ugonjwa wa depression. Kitendo cha mimi kuwaambia ukweli , kunawaandaa kisaikolojia, hivyo atakaposhindwa, mtaumia tuu, ila hamtapata depression.
P
Wewe ni kigeugeu....hata wana CCM a.k.a chama dume wanalijua hilo....wewe haupo CCM wenye akili wanajua hilo
 
Back
Top Bottom